Yanga umoja wa Mataifa wewe.
tatizo mliamini hao azam wataifunga simba yanga mkae kileleni.siyo wapumbavu ila wamekutana na timu boratulichokuwa tunategemea jana sio ushindi wa azam wala simba wala droo,tulitegemea kuona soka la uhakika lakini hawakucheza vibaya ila walikuwa taratibu kama hawataki vile,mpira walikuwa kama wanauonea kinyaa yaani ilikuwa full sharobalo,tulijuta kupoteza muda wetu na pesa zetu,azam pumbavu kabisa na kwa mwendo ule wasitegemee kikombe hata kimoja vilaza wakubwa wale