Hii ni kengele kwa yanga

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
Jana ligi kuu Tanzania bara iliendelea kwa baadhi ya viwanja, wakati mashabiki wa mpira wa miguu wanaoichukia ama itakia simba mabaya walitegemea ushindi kwa Azam mambo yamekuwa kinyume chake. Ngoja niende kwenye kengele niliyoanza kuitabili japo mie sio mtabiri, kipigo alichokipata Azam ni kengele kwa yanga kwamba Azam watakuja kwenu wakikumbuka kufungwa na simba hivyo ninauhakika msipojiandaa vyema historia itajirudia mkaacha mpira na kuhamia kwenye masumbwi kwa marefa wetu wa kibongobongo, ikwa hyuuu hyaaa ...........
 
upo jukwaa wrong mwana jf hili ni jukwaa la siasa, na habari hiyo ya kimichezo
 
sisi tunasherekea ushindi tu!

020.jpg
 
Yanga tuna wadai goli tano zetu....Jana okwi alifunga goli kama zile alizo wafunga yanga yaani anawakusanya mabeki kama sita akitokea pembeni kisha anaachia shoot goli yanga mnabahati sana mechi hiyo mlifanya mipago asiwepo uwanjani maana ilikuwa kumi...
 
tulichokuwa tunategemea jana sio ushindi wa azam wala simba wala droo,tulitegemea kuona soka la uhakika lakini hawakucheza vibaya ila walikuwa taratibu kama hawataki vile,mpira walikuwa kama wanauonea kinyaa yaani ilikuwa full sharobalo,tulijuta kupoteza muda wetu na pesa zetu,azam pumbavu kabisa na kwa mwendo ule wasitegemee kikombe hata kimoja vilaza wakubwa wale
 
tatizo mliamini hao azam wataifunga simba yanga mkae kileleni.siyo wapumbavu ila wamekutana na timu bora
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom