NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Karibu tena dia'
Ohoo pole sna ila hakuna kama mama duniani. Tusubiri michango ya wengine
Pole sana my dear.....its kind of natural....the most happiest days of my life waga nalia....nakumbuka mema na mabaya yote yakiyowahi nikuta....nashukuru tu siku hazigandi,nikiamka asubuhi ya kesho yake,nakuwa kawaida.....umeshajua una tatizo hilo,sasa ikifika siku ya birthday...unajitahidi ku cheer up.....halafu mimi na mama yangu tuna connection strange,nikiwa na maumivu ya kimwili au kiroho bila hata kumuambia,atapiga simu kuuliza hali yangu na kusema hajisikii vizuri na anahisi nina tatizo....hata nikimdanganya,the next day atapiga simu na nitasema ukweli then anasema roho inatulia kuujua ukweli......:hand:
pole na karbu tena ila jitahd kulia ni part of life haijalish unalia kwa baya au zur zoea
the way u said is what i have my dear.... nikianka asubuh yake nishasahau yaliopita ..... kumbe basi ni kawaida nishapata watu wawili wakanambia ni hali inayokuja automatically kwa yeyote anaejali mama na kumpa mapenzi yote...mh ok bas mwenzio nashindwa kunywa juic najua labda kuna dawa ntapewa na jf hii hali iniondokee kumbe ni kawaida sasa nisingeuliza ningejuaje...thanx my dear...
sasa watu ndo wanakukuta unamwaga machozi huko kwenye foleni,wanakuuliza mama vipi!!!unawajinuje sasa?heehhh mie kulia kawaida yangu hata traffic ikiwa kubwa njiani nalia...tena ukute ndio natoka kazini nikikutana na hiyo traffic utanionea imani wallah..
s. aleykum... akhbar zenu jamani niliwatupa kidogo vp mambo zenu? my hope ua all doing okay.... mi nna swali la kirafiki tuu....nimeona bara niiulize hii hal na vipi niiepuke....
ni kwamba yaani kila ikifika birthday yangu nnakuwa mnyonge na mwenye kulia na sababu siijui na sana sana mosst of dah time wallah anakuwa ni mama ndie anetawala mawazo yangu,,, na hakuna anaenifurahisha kwa siku ile ya part ispokuwa yeye na hata kama nikiwa kwenye hali ile ya majonzi yeye anambiapo happy birthday basi najiona hakuna alienipa zawadi kama yeye japo ni ya maneno huwa naridhika...
yaani hali hii wallah yanikosesha raha kwa ajili part nitaiandaa week nzima then nashindwa kuifurahia ni kwanini?? na hal hii huwa inatokea kwa wengine au vipi.... na ni vipi niepukane nayo??
duh....
kaone psychologists hapo...vingine nitakuwa nakudanganya tu!