Hii ni kawaida au tatizo

Hii ni kawaida au tatizo

Jamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo

Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote niule
Harufu ya vumbi mtu akifagiaa

Harufu ya udongo

Yaani nipo hivyo siku zote hivi itakuwa ni tatizo au ni kawaida kwa wengineo
You're lacking Iodine and calcium in your body. Go to the near hospital for a help. Kuna vidonge watakupatia kuboost kiwango cha madini ndani ya mwili wako pia upendelee kula vyakula kama nyama, samaki, Karanga, maziwa, mboga za majani, mikate na matunda hasa dried fruits. Hivyo vyakula vina utajiri wa madini hitajika mwilini.
 
Kuhusu udongo, mchanga, vumbi...

Vina kitu kinaitwa geosmin, ambacho pua za binadamu zipo sensitive sana nacho

Na ndio maana watu wengi wanapenda ile harufu ya mvua inapogusa udongo
Nakubaliana nawe na geosmin smell huja katika mfumo wa aerosols pale matone ya mvua yanapogusa ardhi na huweza kusafirishwa mbali kabisa na upepo hata watu kuhisi mvua kabla hata ya eneo husika kuguswa na rain droplets.
 
Back
Top Bottom