THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,548
- 7,516
Mwendo wa ngiri mkia juu, utakula Hadi magodoro
ChumaMadini gani??
Neno “mavi” na “kunya”😏😏😏yamekaa kama nini sijui bora kinyesi na kujisaidia.vipi harufu ya mavi, mtu akiwa anakunya pia unapenda mkuu?. utakua unaenda kukaa kwenye vyoo vya watu ili unuse harufu ya mavi yao.
Kuhusu udongo, mchanga, vumbi...
Vina kitu kinaitwa geosmin, ambacho pua za binadamu zipo sensitive sana nacho
Na ndio maana watu wengi wanapenda ile harufu ya mvua inapogusa udongo
Nenda hospital usije kula nguo mwaya pole lakini![]()

Mimi napenda harufu ya jasho langu![]()

Ni mimba hiyo,kitaalam inaitwa hyposinthensiscularity
hapa tunafanana mkuu ila kwenye uvundo dah sio kweli na napenda harusu ya gesi
Kacheki ujauzito. Hongera
Ukosefu wa madini ya chuma....hata wajawazito hutokewa na hali hiyo ndio maana clinic huandikiwa ivo vidonge vya madini chuma.
Au
Kula maharage ambayo hayajaungwa bado
Samaki
Mayai
Maini.
Usinywe maji kupita kiasi yanapunguza madini mwilini.
Chuma
nimelia sana mkuu😭😭Gesi mimi napata kichefuchefu
Utakua na ujauzito wa kudumu bila shakaJamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo
Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote niule
Harufu ya vumbi mtu akifagiaa
Harufu ya udongo
Yaani nipo hivyo siku zote hivi itakuwa ni tatizo au ni kawaida kwa wengineo![]()
Harufu ya K kuna siku inanukia kama hiyo ya udongo uliolowa/ulionyeshewa na mvua.Jasho hapana labda harufu ya K inavonukiaa ndio napenda tu![]()
Je kujamba?Neno “mavi” na “kunya”yamekaa kama nini sijui bora kinyesi na kujisaidia.