Hii ni kali kuliko ndani ya daladala

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Jamaa mmoja ndani ya daladala inayoenda
Gongolamboto,kachafua hali ya hewa pyuuu!! Pyuu,pwuaaah!!! Watu wote
wakamwangalia akatoa simu akajidai "Hallo"
Watu wakacheka wakasema "kumbe ni ringtone ya
simu tu!"

Konda hakuvumilia akasema "Lo boss iyo ringtone
yako ni kali,iko mpaka na harufu ya mayai ya kuchemsha
chemsha!!"
 
Back
Top Bottom