"hii ni hujuma"

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Mwakalebela leo kafunguka kuhusu kukatika kwa umeme u/taifa ni hujuma zimefanywa na baadhi ya watu.

Source: radio one

Tukumbuke huyu jamaa amepita sehemu hiyo....
Na ni kwanini ameongea kauli hiyo, anajua kilakitu tumtumie atupe siri ya mambo.

Nawasilisha!
 
mwakalebela leo kafunguka kuhusu kukatika kwa umeme u/taifa ni hujuma zimefanywa na baadhi ya watu.

Source: Radio one

tukumbuke huyu jamaa amepita sehemu hiyo....
Na ni kwanini ameongea kauli hiyo, anajua kilakitu tumtumie atupe siri ya mambo.

Nawasilisha!
nafikiri anajua pia kwa nini track za wimbo wetu wa taifa ziliwahi goma!!
 
nafikiri anajua pia kwa nini track za wimbo wetu wa taifa ziliwahi goma!!
anasiri nzito sana kwa kinachofanyika pale kwan ungepata fursa ya kumsikiliza ndo ungeamini kauli ya kwanza kuitoa anasema "HII NI HUJUMA"
 
Back
Top Bottom