Hii ni hatari

Hii ni hatari

Ogopa sana dem una mtext anakujibu after 4 hours wakat all the time unamuona ana finya finya simu. Dem daily ku post instagram.

Kuna dem flan tumekua wote kitaa kimoja she z fine and very preety i too used to adore her a lot....tatzo hatulii na m/mme mmoja washamfunua sanaa tu. Najiulizaga ivi ni nn wanakosa ?? Wengine familia zao ziko vizuri tu.

Most hawajui tu wanajiharibia future/bahati zao. #RUBBISH .
 
tatizo hawafikiriii keshi na wanafuata mkumbooo kwa nguvuuu sanaaaa.... wanatakiwa watulie wanaume hawawez kuwamaliza woteeee.
 
Ndio hapo ss...
Sometimes mtu unaona afadhali ni date cute single mothers aged between 30 - 40 wanaojipenda. Wana mapenzi balaaaa. Akikupenda utafurahi na roho yako alaf hawasumbuagi. Hahaha Lol
 
pesa ni kila kitu? ukiwa na pesa ndio utajua pesa sio kila kituuu katika maisha ya binadamuuu.. na pili una akili na nguvu unaweza tafuta zako sio pesa za manyanyaso na lifti au kupewa gari bila leseniii. unajua kapata wapi hizooo pesaaa kama anaua au kuuza viungo vya watu???? je akikutoaa mimba ukakosa watoto utawanunua kwa hiyooo pesaaaa? kama pesa ni kila kituuu kwanini wanawake ambaoo waume zao wako bize na kutafuta pesa wanatoka njeee ya ndoaaa? kwanini mwanaume akikosa nguvu za kiumee unatoka njeee usinunue hizooo nguvuuu? kwa ajili hakuridhishi kimapenziiii.. pesa kilamtu anaweza tafuta na pesa hainunui upendo akiishiwa itakuwajeee... ni kama unajiuzaaa wqakati una nguvuuu tafuta zakooooo/.

Na ukiwa huna ndio utajiteteaaaaaaaaaaa!!!
 
do you know me... may be... but nina uwezo wa kuwa rational and think positive... sina mawazo ya pesa ya mtu wala cha mtu.. nawaza kujitafutia.. hustle never stop.. i am man unlike some ladies.. wewe unadhaniii wanaume wanaoa goal keepers or chicken heads now days... wanatafuta wanawake wenye akili wanao jiweza... hata kama huna kipato akikupa mtaji utaenda nao saloon au club au bar.. una elimu ganiiii? akiamua kukununua pia atazingatia vigezooo ni mzuri kweli? ili akutumie pesa yake iende vizuri akimaliza aende mbeleee kwa wakawaidaa.. akija na pesa pia jitizameee unaweza usiambulie kituuu pia zaidi ya lift..
 
Ndio hapo ss...
Sometimes mtu unaona afadhali ni date cute single mothers aged between 30 - 40 wanaojipenda. Wana mapenzi balaaaa. Akikupenda utafurahi na roho yako alaf hawasumbuagi. Hahaha Lol
duuuh..hatariiii... umri ni namba kama mnapendana kweli.
 
Ndio maana yake. Jaribu utakuja niambia...Lol

Wale ambao wana look young, fine and very attractive but unakuta amezaa na mtu waka split. Ni watamu balaa.
The older the berry the sweeter the Juice. Age z just a number. Lol
 
do you know me... may be... but nina uwezo wa kuwa rational and think positive... sina mawazo ya pesa ya mtu wala cha mtu.. nawaza kujitafutia.. hustle never stop.. i am man unlike some ladies.. wewe unadhaniii wanaume wanaoa goal keepers or chicken heads now days... wanatafuta wanawake wenye akili wanao jiweza... hata kama huna kipato akikupa mtaji utaenda nao saloon au club au bar.. una elimu ganiiii? akiamua kukununua pia atazingatia vigezooo ni mzuri kweli? ili akutumie pesa yake iende vizuri akimaliza aende mbeleee kwa wakawaidaa.. akija na pesa pia jitizameee unaweza usiambulie kituuu pia zaidi ya lift..

Hahahaaaaaaaa!! Keep going, yaani hili somo hata ulitoe uchi silielewi mkuu, sasa ni bora tu ukaman up.
 
i know your not that reckless... kuwa makini na wanaume usiwategemee kama mitaji.. itakutokea puani... stop arrogance because arrogant huwa wanaishia kujutaaa... nina mifano mingi ya mabinti wenye same words and attitudes that your shown... at the end of the day they regret... gloomy life awaits those people.. ngoja nikupe mfano mdogo... kuna jamaa mmoja dar, sehemu inaitwa kibamba alikuwa na binti ana mpenda... ila yule binti alikuwa ana mdharauuu yuleee jamaaa... jamaa alimbembeleza sanaaaa binti hakumwelewa... ila alikuwa kama anamchezea jamaaa... siku moja jamaa alimwomba kiss tuu... binti akatema mate kwenye kiganjaaaa akampa jamaaa akamwambia si unataka mate hayaaa hapaaa kulaaa... duuuh jamaaa akalaaa yaleee matee.... sasa kuna siku wakakutana kulikuwa na umati wa watu... wakawa wamekorofishanaa sanaa,, yule binti bila ajiziii akamchana jamaaa mbelee za watuuu ni boya sana na alishawahi kumpa mate kwa kiganja na kejeliii nyingiii kuhusuu jamaa mtaaniii... story zikazagaaa sanaaaa mpaka ndugu wakajua... jamaa akawa very stressed.. nduguze wakampeleka kaskazini mwa tz... jamaa akapiga mishe kuna wazungu wakawa wamemkubaliii sanaaa wakampiga tafuuu sanaaa. jamaaa akastoboa sana maisha within 3 years... akaenda kwao akajenga kitofaaa(gorofa moja) cha maanakipamba palee... sasa siku moja katika pita pita zakeee njiani na gari lake vuuup! bintiiii huyuu hapaaa akasimamisha gariiii akamtia liftiii mpaka kwenye nyumba yakeee... binti akashangaa sana yale mabadilikoo na jamaa ana mpunga kisawa.. kufika getooo katika story story binti akachombeza mambo za kumdadisi mwana kama kaoa au laa.. jamaa akamchanaaa sina mpz kwa sasa... story zikageuka bint ana mwambiaa etiii nanukuuu "unajua mimi najua kufanya usafiiii, nyumba kama hiii itakuwa safiii, ntakuoshea vyombo na kukufuliaaa, ikafika mahali anamchombeza mselaaaa... jamaa akamkumbusha ileee sikuuuu na alivyo umiaa sanaa.. akamwambia kama ni usafi akafanye kwaoooo hukooo akamtoa hadiii getini binti akaondokaaa.... mabinti wengi hawajitambui pesa inatafutwaaaa... pesa hairisiwiiiii.. marehemu hufa na chakeeee pigana upate chakooo... utaishiaaaa kubayaaa bureeeee muda una kwendaa huuuu..
 
Galacha Maestro katika hili yaani wewe hata usijisumbue kunipa somo kabisaaaaaa, i know what i am doing kwakweli, am not a kid and not reckless in any way, hili some save it for the needy not me kwakweli, sawa? Okey siku njema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom