sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
mitandao ya kijamiii imekuja na mengiii sanaaaa.
We acha imekuja ka jipu la shavuni libinukapo.
mitandao ya kijamiii imekuja na mengiii sanaaaa.
ntakutumia pm usikilizeeeKuna audio........?.....nataka nisikilize.....
sio mchezoo watu walizwa sanaaa kutokanaa na mitandaooo... kama tarumbetaaa ya jiji..we acha imekuja ka jipu la shavuni libinukapo.
uko kwa ajili yakooo... nakutakia mfungo mwemaaa.Huu uzi ntauchangia ki ufasaha baada ya mwezi mtukufu.!
sio mchezoo watu walizwa sanaaa kutokanaa na mitandaooo... kama tarumbetaaa ya jiji..
mauzoo ni biasharaa.. wengine ukikutana naoo utasandaaa. wanajisahauu sanaa.. wahuni wanawapitiA... cjui tunaenda wapi.hizo selfie ni shida ukenda Insta ndo unachoka kabisa
Usiwaogope tumia akili wakiume wewe.. mwanamke ni jinsi unavyoishi naee.. wapo walio tuliaaaa. sanaaa.Wanawake ni viumbe hatari sana aisee, kama ingewezekana tungewaogopa kama ukoma!!
wazooo tuu.. darasa la maishaaa kwa ujumla... atoto... kuna leoo na keshoo...
kwanini halipandiii sasa? wakati somooo nzuriii tuuu hili.Hahahahaaaa! Mie hili somo hata halipandagi kabisaaa, kama agriculture enzi ninasoma.
kama kabadilika na yuko kwenye msitariii mzuriii atafute mwanaume anaetaka.. akimpata ambadilishe yeye awe atakavyoo.. yeye alikuwa muhuni ambadilishe kwakuwa mabadiliko yanawezekanaa na yeye kabadilika... ila usiweke mashartiii ya kebehiii.. ila kila mtu anastahili kilicho bora...Halafu wakifiksha umri wa kuolewa wanata mume mtulivu, mwenye mapenzi ya dhati, mcha Mungu na vigezo vingine vingi visivyoeleweka wakati wao wenyewe washatumika hadi hawafai
Halafu wakifiksha umri wa kuolewa wanata mume mtulivu, mwenye mapenzi ya dhati, mcha Mungu na vigezo vingine vingi visivyoeleweka wakati wao wenyewe washatumika hadi hawafai
kwanini halipandiii sasa? wakati somooo nzuriii tuuu hili.
pesa ni kila kitu? ukiwa na pesa ndio utajua pesa sio kila kituuu katika maisha ya binadamuuu.. na pili una akili na nguvu unaweza tafuta zako sio pesa za manyanyaso na lifti au kupewa gari bila leseniii. unajua kapata wapi hizooo pesaaa kama anaua au kuuza viungo vya watu???? je akikutoaa mimba ukakosa watoto utawanunua kwa hiyooo pesaaaa? kama pesa ni kila kituuu kwanini wanawake ambaoo waume zao wako bize na kutafuta pesa wanatoka njeee ya ndoaaa? kwanini mwanaume akikosa nguvu za kiumee unatoka njeee usinunue hizooo nguvuuu? kwa ajili hakuridhishi kimapenziiii.. pesa kilamtu anaweza tafuta na pesa hainunui upendo akiishiwa itakuwajeee... ni kama unajiuzaaa wqakati una nguvuuu tafuta zakooooo/."tatizo sio kutesa kila siku, ila pesa ndio kila kitu"