Hii ni hali ya kawaida kweli au kuna shida!

Hii ni hali ya kawaida kweli au kuna shida!

Bado una feelings za ex wako. Bado moyo wako haujauondoa huko.
Ebu kubali kuwa huyo mlishaachana fungua moyo wako kwa MTU mwingine mpe mapenzi yote hiyo hali itaondoka yenyewe tu automatically
 
Haya mambo ni wewe mwenyewe.

You can love
You can hate
You can like

AND

You can decide to love
You can decide to hate

Simply ni wewe unataka nini, ukijiendekeza kuwa ndivyo ulivyo basi itakua hivyo.

Pia, take time kujiuliza kama kuna umuhimu wa wewe kuwa na Mwanaume now? Nina uhakika kuwa wewe huna haja ya mahusiano ukiwa tayari utaona iyo hali inasepa taratibu.

Lakini ni muhimu kujua MAPENZI sio ya kila mtu.
ASante kwa ushauri mkuu
 
embu ntafut nna tiba ya tatzo lako mara moja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja nitafute stuli kwanza ili inisaidie ........tuwe sawa ili nikusimulie kwa kina😂😂😂
 
We Jinsia gani kwanza?? maana mambo mengine bhana...??
 
Ndo nawatakaga hao aisee,unapiga game then hakuna kujuana.Hebu njoo kuleeeeeePM
 
USIKU HUWA UNAOTA UNAFANYA NGONO???

Naomba unijibu swali langu kwanza.
 
pole yako tele..
ni heri utafute suluhisho mapema kabla mambo hayajazidi kuwa si mambo.

kila kitu kina sababu...ukijichunguza vyema bila kujionea huruma utagundua tu tatizo ni lipi & lilianzia wapi
 
USIKU HUWA UNAOTA UNAFANYA NGONO???

Naomba unijibu swali langu kwanza.
Kuna kipindi nilikuwa naota mfululizo nikawa nasali ile hali ikaanza kupote taratibu hiyo ni mda kidogo.

Kama miezi nane iliyopita,,nikaota tena napiga game tena tangu kipindi hicho sijaota tena
 
Pole mkuu kwa matatizo ya kidunia ila samahan kama ntakukwaza naona watu wengi wameongea vitu vya kisaikolojia, mm nahisi uyo mtu wako ambae mliachana wakat mapenzi yamekolea mugarhabu nafikir kuna kamchezo amekufanyia ka uswahili aiwezekan huwe kwenye iyo hali
 
Pole mkuu kwa matatizo ya kidunia ila samahan kama ntakukwaza naona watu wengi wameongea vitu vya kisaikolojia, mm nahisi uyo mtu wako ambae mliachana wakat mapenzi yamekolea mugarhabu nafikir kuna kamchezo amekufanyia ka uswahili aiwezekan huwe kwenye iyo hali
Hujanikwaza mkuu.siwezi kusema chochote kwa kuwa sina uhakika.kwahiyo siwezi kuchuma dhambi ya kumsingizia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom