Hii ni Bongo tu hakuna sehemu nyingine.............

Duh bora sijaenda huko. Mateso sana, maslahi hakuna, mafisadi wanatungua raha
 
Kuvunja tofali kichwani sawa. Ila kuweka kisu hapo kilipowekwa ni too much! Suppose akitereza bahati mbaya...si kinakutana na utumbo mpana!
 
Utasikia mwamamunyange anakanusha hakuna mateso jeshini na watu hawafi kwa mateso...!!!!!!!!!

Huyo jamaa kasimama juu ya ubao ulio mita chache kutoka usawa wa ardhi, ubao uko juu ya matofali tena mwembamba.

Akiteteleka akatereza na kudondoka, hilo tofali linamuwa moja kwa moja kwa kumponda kichwa-Ni marehem muda wowote hapo alipo.

Inauma sana sana, Akina-Gen-shimbo wakikwiba mabilion wazalendo wanauliwa na mateso kibao.....ccm hii ni kilio nakusaga meno.
 
ivi uyo aogopi kifo maana icho kisu au hana familia?

Imenibidi niangalie kwa makini asante mkuu, hapo lazima wapo wanaokaliaga hicho kisu nakuwamalizia.

Tanzania ni hatari...............labda ndo ukomandooo mkuu, jamani mnaoenda kujeshi jiandaeeni yaani kufa au kupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…