Wakuu nimempakia abiria wangu mzungu kutoka wavuvi Hadi mikocheni kwa warioba akanipa hii akaniambia nimrudishie 5000..Sasa hi itakuwa Bei gani je kanipiga?View attachment 2945055
Alipewa elfu 25 na vinukta nukta akarudisha elfu 5 akabaki na 20 na vinukta. Iyo 20k hajakata mafuta, malipo yake kwa kila kilomita na akiba ya matengenezo (oil sana sana) na vikorokoro vidogo.