Unaniona hapo ulipo ??
Akiandika nitag, mrejesho huu muhimu sana kwangu.Mkuu Tupe Mrejesho Ni Miaka Minne Sasa
Kwanini???
Aaaah, si useme tu nipo vizuri wee jamaaa aaangu?Yupo vzuri, mabinti wapo vizuri...
Hilo si jibu la swali nililouliza, na swali nililouliza halijajibiwa.Hujui hata kuna wanawake wanaweza jua mwenzao ana mimba hata kwa muona, ingawa yeye hajatambua bado??