Hii ni bahati mbaya,,, usinijue na sitaki tena!

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
96
Wana jf,
Siku moja ktk muendelezo wa sound kwa binti fulani hapa mtaani, alinambie niende kwake na si kuongelea kwangu au bar kama ilivyokua awali. Tukiwa sebuleni kwake, alilia na kusema ananipenda sana ila ana mpenzi wake. Nilipombeleza kwa kumfuta machozi na kumpapasa papasa tuliishia kufanya tendo kuu. Hamu ilipomwisha akanambia tufanye kama ajali na hataki tena mawasiliano na mimi. Kesho yake akanitafuta kunijulia hali... Baada ya hapo akaomba tuwe marafiki tu na si wa namna hiyo tena.. Hatujafanya tena mpaka leo, na hataki kunipa mazingira ya namna ile tena, ila kanambia akiachana na jamaa yake lazima aje kwangu.. Nifanyaje na mie nampenda?
 
Amekutunza store na kukufanya spare tairi; endapo lililopo halitaharibika wewe utabaki store milele na milele! kazi ni kwako
 
Wana jf,
Siku moja ktk muendelezo wa sound kwa binti fulani hapa mtaani, alinambie niende kwake na si kuongelea kwangu au bar kama ilivyokua awali. Tukiwa sebuleni kwake, alilia na kusema ananipenda sana ila ana mpenzi wake. Nilipombeleza kwa kumfuta machozi na kumpapasa papasa tuliishia kufanya tendo kuu. Hamu ilipomwisha akanambia tufanye kama ajali na hataki tena mawasiliano na mimi. Kesho yake akanitafuta kunijulia hali... Baada ya hapo akaomba tuwe marafiki tu na si wa namna hiyo tena.. Hatujafanya tena mpaka leo, na hataki kunipa mazingira ya namna ile tena, ila kanambia akiachana na jamaa yake lazima aje kwangu.. Nifanyaje na mie nampenda?

Sasa unataka jibu gani zaidi? Kesha kujaribu na inawezekana kaona dogo huna ubavu wa kushindana na kifaa chake, hivyo umewekwa spare tyre mpaka apigwe chini na jamaa yake!!!
Sasa jiulize kipuuzi maswali haya:
  • Utasubiri mpaka lini?
  • Asipopigwa chini na jamaa yakehatma yako itakuwaje?
  • Wanawake wameisha mpaka upange foleni?

Kwa ushauri wa bure, endelea na mitikasi yako, ya kimaisha. Achana na huyo dada maana tayari ana mtu. Fanya kama ajali kama alivyosema yeye.
utasubiri mpaka lini? Tafakari!
 
hukumridhisha....u couldnt show that ur better than the other guy.........just move on......
 
Ukigandwa kama RUBA usilalamike, na pindi atapokuja kwangu usishangae kwani ni ka utaratibu kake.
 
watu wakiwekwa kwenye 'hotpot' huwa hawajijui nini?!
 
dah mchizi una mbavu mbili??? no pumzi!!!..na ndio maana wachezaji wetu hapa bongo huchemsha maulaya uko...unapelekwa majaribio unacheza chini ya kiwango!!!
ukipewa interview jitume to the fullest mzee,..yani kama jamaa yake huyo demu ni range rover cc 4600,wewe ni pajero mini cc 600!!!
teheteh!!
 
Wewe ni kama option kwake,mambo yake yakibuma ndo utafikiliwa,na nahc huyo dada hata hakupendi wew ni number two...!uckubalî kua option Stuka my friend
 
#Dunia ni yako :nimekataa:😛ray::rant:Chaguo ni lako.

Kwa hisani ya: Mbu
 
Last edited by a moderator:
Sasa unataka jibu gani zaidi? Kesha kujaribu na inawezekana kaona dogo huna ubavu wa kushindana na kifaa chake, hivyo umewekwa spare tyre mpaka apigwe chini na jamaa yake!!!
Sasa jiulize kipuuzi maswali haya:
  • Utasubiri mpaka lini?
  • Asipopigwa chini na jamaa yakehatma yako itakuwaje?
  • Wanawake wameisha mpaka upange foleni?

Kwa ushauri wa bure, endelea na mitikasi yako, ya kimaisha. Achana na huyo dada maana tayari ana mtu. Fanya kama ajali kama alivyosema yeye.
utasubiri mpaka lini? Tafakari!

Asante
 
dah mchizi una mbavu mbili??? no pumzi!!!..na ndio maana wachezaji wetu hapa bongo huchemsha maulaya uko...unapelekwa majaribio unacheza chini ya kiwango!!!
ukipewa interview jitume to the fullest mzee,..yani kama jamaa yake huyo demu ni range rover cc 4600,wewe ni pajero mini cc 600!!!
teheteh!!

Nope, huwa nakua makini sana ktk mambo hayo
 
hukumridhisha....u couldnt show that ur better than the other guy.........just move on......

Nikipewa kwa mara ya kwanza, huwa najituma sana ili arudie tena kesho, nlimpa hadi alidata coz tulikesha hadi saa 5:00 alfajiri, na ushindi wa magoli mengi.
 
Wana jf,
Siku moja ktk muendelezo wa sound kwa binti fulani hapa mtaani, alinambie niende kwake na si kuongelea kwangu au bar kama ilivyokua awali. Tukiwa sebuleni kwake, alilia na kusema ananipenda sana ila ana mpenzi wake. Nilipombeleza kwa kumfuta machozi na kumpapasa papasa tuliishia kufanya tendo kuu. Hamu ilipomwisha akanambia tufanye kama ajali na hataki tena mawasiliano na mimi. Kesho yake akanitafuta kunijulia hali... Baada ya hapo akaomba tuwe marafiki tu na si wa namna hiyo tena.. Hatujafanya tena mpaka leo, na hataki kunipa mazingira ya namna ile tena, ila kanambia akiachana na jamaa yake lazima aje kwangu.. Nifanyaje na mie nampenda?

Si kesha kuambia akiachana na jamaa yake utampata?so vumilia
 
Naona mwanamke kaamua kukufanya MSUKULE au JOGOO wa KUAZIMA nawe bichwa lakujaa kwa misifa...

Haya endelea kula mipumba tu ipo siku utatolewa kwa hicho kifungo...

Back
Top Bottom