Hii ni ajali subaru

Habari,

Mada iliondolewa sababu uliweka 'kiambatanisho' ambacho hakifunguki, nadhani ulikipakia vibaya. Pia kulikuwa na upotoshaji kiasi fulani kwa wachangiaji kwamba kijana aliyeonekana kwenye picha na gari kabla ya ajali kuwa ndiye alikuwa dereva jambo ambalo siyo kweli na kupelekea ndugu zake kulalamika.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hii ni jana Geita
Nilifika muda mchache baada ya tukio

Kwa kifupi hakuna aliyestuka na hiyo ajali, kwa Geita mjini hakuna asiyemjua huyo jamaa!

Hana speed ya kistaarabu hata kidogo sadly aliyefariki ni mshikaji wake jamaa mwenye rafu yuko majeruhi!
Indeed...ajali imetokea watu wanaambiana ni ile Subaru ya blue inayo kimbiaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…