GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 274
Tangu jana hajafika hapa
hapo kwenye blue ndo kuna tatizo
hapo kwenye blue ndo kuna tatizo
Kivumishi kielekezi...
kielezi kivumishi husimama baada ya kivumishi kikieleza sifa ya tendo linalofanyika
sasa hapo mbona hakijatanguliwa na kitu?
Sentensi za kiswahili huanza na kiima kisha kiarifu. Kimuundo sentensi yako si fasaha. Ilipaswa kuwa
-Hajafika hapa tangu jana.
Na kwa muundo huo hapo kiima si dhahiri (kiima kapa) maana hakionekani bali kinafahamika, ni YEYE.
Neno TANGU ni Kihusishi cha Wakati kama yalivyo maneno-kabla ya...na baada ya...