Hii ni aibu kubwa sana kwa Urusi

Hii ni aibu kubwa sana kwa Urusi

Ukraine hajarusha hata bomu moja kwenda Russia, yeye anachofanya kwa Sasa ni kujilinda tu.
IMG_20220227_231109.jpg
 
Hakuna sababu yoyote ya msingi ya mrusi kuanzishs vita hii.

Sababu zote alizotoa ni za kipuuzi ukilinganisha na thamani ya damu ya binadamu.
Yaani alitakiwa atumie akili sana sio nguvu
 
Yaani alitakiwa atumie akili sana sio nguvu
Sasa hivi kila raia anamuona mpuuzi.

Hii vita hata kama mrusi akishinda bado ataonekana mpuuzi na muoneaji na ataonekana maji yalikuwa ya shingo ndiyo maana katishia kuyaweka mabomu ya nyuklia yawe katika tahadhari

Lakini pia ukraine wamwonesha uzalendo sana kiasi hata raisi wao naye aliamua kuingia mzigoni.

Hivyo mrusi katika vita hii hata akishinda ni hasara tu kwake
 
Unatania kweli we unadhani kama Putin anakuwa serious kweli hata saa 12 hazifiki Ukraine inabaki majivu tu sema anaona kuna watu hawana hatia na hawastahili mateso hayo Ukraine si kama Zanzibar tu ndo amuumize kichwa Mrusi.
 
Sasa hivi kila raia anamuona mpuuzi.

Hii vita hata kama mrusi akishinda bado ataonekana mpuuzi na muoneaji na ataonekana maji yalikuwa ya shingo ndiyo maana katishia kuyaweka mabomu ya nyuklia yawe katika tahadhari

Lakini pia ukraine wamwonesha uzalendo sana kiasi hata raisi wao naye aliamua kuingia mzigoni.

Hivyo mrusi katika vita hii hata akishinda ni hasara tu kwake
eti hasara kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
hapo alipo hajashinda na tayar kwake faida kem kem
 
Tatu bila. Russia ameteka eneo kubwa la Ukraine kwa Sasa, ameharibu kambi nying za jeshi pia amelipua maghala ya silaha na airfields nyingi za Ukraine. Inshort lengo LA putin LA ku idhoofisha Ukraine kijeshi de-militarise limetimia. View attachment 2133389

Still haijaisha coz Ukraine anapata support za kijeshi na pia lets wait Nato sio wajinga kihivyo there is something they will come up with and watamdestroy Putin
 
Taifa kubwa ulimwenguli kama Russia nlijua itawachukua siku 2 tu kuwazima ukraine lakini ngoma ngumu, sasa wanapiga wanawake kwa watoto wanapiga makombora kwenye majengo kama hawaeleweki...
Wakati mwingine akili kama hizi tuzielekeze kwenye nchi zetu wenyewe. Kuna mambo mengi sana y kudeal nayo Tanzania kwetu ambayo ni changamoto ikiwemo upatikanaji wa huduma za kijamii na miundo mbinu imara, pia ufisadi uliokithiri, kuliko kumshauri mtu anayetumia ziada ya pesa zake kupigania maslahi yake akiwa ametuacha mbali sana kiuchumi, kisiasa na kijasusi.
 
Back
Top Bottom