Hii ni aibu kubwa sana kwa Urusi

Hii ni aibu kubwa sana kwa Urusi

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,724
Reaction score
13,463
Taifa kubwa ulimwenguni kama Russia nilijua itawachukua siku 2 tu kuwazima Ukraine lakini ngoma ngumu, sasa wanapiga wanawake kwa watoto wanapiga makombora kwenye majengo kama hawaeleweki.

Kibaya zaidi wanachi wa Ukraine wamekataa kugawanyika yaani hakuna mtu anayemlaumu Rais wao kwa maaumuzi aliyoyachukua wote wamekubali kuingia vitani kulinda nchi yao mean Putin amekosa kuungwa mkono na waukraine, jeshi limegoma kumgeuka Rais wao, wananchi wamegoma kuasi nchi yao kazi ipo.

Nchi za Magharibi nazo zimeanza kujaza silaha pale Ukraine kitu ambacho kinafanya mrusi awe na kazi ngumu.

Now warusi wanalipua majengo wanapiga wanawake kwa watoto ushahidi ni picha za majeruhi, ni fedheha kubwa sana ile.

Now Putin kaanza kutishia nuke kwa nchi ndogo kama Ukraine, ni aibu sana, Putin ni mgonjwa wa akili yule hakupaswa kutumia nguvu kubwa kwa tukio hili, hii vita atashinda ila cha moto atakipata na bado waukraine hawatakubali kutawaliwa kitaendelea kuwaka tu mpaka wataikimbia hiyo nchi, ni swala la muda tu.
 
Taifa kubwa ulimwenguli kama Russia nlijua itawachukua siku 2 tu kuwazima ukraine lakini ngoma ngumu, sasa wanapiga wanawake kwa watoto wanapiga makombora kwenye majengo kama hawaeleweki

Now putin kaanza kutishia nuke kwa nchi ndogo kama ukraine ni aibu sana, putin ni mgonjwa wa akili yule hakupaswa kutumia nguvu kubwa kwa tukio hili hii vita atashinda ila cha moto atakipata na bado waukraine hawatakubali kutawaliwa kitaendelea kuwaka tu mpaka wataikimbia hiyo nchi ni swala la muda tu
Hakuna sababu yoyote ya msingi ya mrusi kuanzishsa vita hii.

Sababu zote alizotoa ni za kipuuzi ukilinganisha na thamani ya damu ya binadamu iliyomwagika.

Hii ni kwa sababu mataifa ambayo yalimuunga mkono urusi sio kwamba yalimuunga ili kumsapoti avamie ukraine hapana.

Bali yalimuunga mkono kwa sababu ya wale jamaa wa NATO na US.

Kwa hiyo mataifa yote ambayo yalionesha kumuunga mkono urusi haina maana kwamba walimuunga na kumsapoti hata jambo hili la kuvamia ukraine hahapa,bali ni kwa sababu ya nato.

Kwa mantiki hiyo ni ngumu sana kwa mataifa yaliyokuwa pamoja na urusi kwa sasa kusapoti ujinga huu wa mrusi.

kwa sababu mataifa hayo hayakuwa na dhamira yoyote na ukraine bali mataifa hayo yalikuwa na dhamira na hao akina NATO na akina US.

HIVYO wale ambao walimsapoti urusi na sasa wamekaa kimya msiwaone wasaliti,

wamekaa kimya kwa sababu huyu ukraine sio lengo lao,ukraine anaonewa tu.

Mrusi hakusapotiwa kwa sababu ya kumvamia ukraine,bali alisapotiwa kwa sababu ya NATO.

Hivyo hakuna taifa lenye akili linaweza kuunga mkono upuuzi wa urusi kuvamia ukraine.

Hakuna Nchi itampongeza mrusi kwa uvamizi huu dhidi ya ukraine eidha watakaa kimya tu au watatoa maneno ya ujumla kwa mafumbo tu lakini sio kumpongeza mrusi
 
Taifa kubwa ulimwenguli kama Russia nlijua itawachukua siku 2 tu kuwazima ukraine lakini ngoma ngumu, sasa wanapiga wanawake kwa watoto wanapiga makombora kwenye majengo kama hawaeleweki

Now putin kaanza kutishia nuke kwa nchi ndogo kama ukraine ni aibu sana, putin ni mgonjwa wa akili yule hakupaswa kutumia nguvu kubwa kwa tukio hili hii vita atashinda ila cha moto atakipata na bado waukraine hawatakubali kutawaliwa kitaendelea kuwaka tu mpaka wataikimbia hiyo nchi ni swala la muda tu
[emoji848]
SmartSelect_20220227-203717_Chrome.jpg
 
Inaonekana unapenda vita!
 
Back
Top Bottom