Hii ni aibu! Gari ya Polisi yanasa kwenye tope msafara wa Waziri wakwama

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
 
Gari la Rais nchi hii lilichomoka tairi , hakuna jipya Tanzania
 
Sio porini? Hamna simba? Polisi wetu wangeweza kuliwa aseee.....hili limeniumiza sana
 
Sio porini? Hamna simba? Polisi wetu wangeweza kuliwa aseee.....hili limeniumiza sana
Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
View attachment 3343263
Baadae utakuta wameandika hawamdai, hapo wahusika ni wapole kama vile wamemwagiwa maji
 
Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
View attachment 3343263
Ni muda sasa tunahitaji mabadiliko Kwa gharama yoyote.
 
Ndio mkome kununua magari badala ya kujenga barabara. 😡
 
Back
Top Bottom