semmy samson
Member
- Dec 20, 2010
- 85
- 1
:drum:WAUNGWANAEEEEEEEE HERIN YA MWAKA MPYA...............2010
SKIA HIIIII!!!!!!!!!
MPO SAFARINI WEWE NA MAMA YAKO NA MKE WAKO KWENYE MTUMBWI MNAVUKA MTO UPANDE WA PILI MARA GHAFLA GHARIKA LIKATOKEA NA MKABWAGWA KWENYE MAJI, KATIKA KUJARIBU KUJIOKOA UKAJIKUTA WEWE NDIO PEKEE UNAWEZA KUOGELEA, HALAFU MTO WENYEWE UNA MAMBA, MAMA ANAPIGA KELELE MWANANGU NIOKOE NA MKEO NAYE MME WANGU NIOKE, MARA GHAFLA MAMBA NAO HAO WANATIA TIMU NA ATAKAE KUWA WA KWANZA KUOKOLEWA NDIO ATAPONA MAANA UKISEMA UMRUDIE WA PILI TAYARI MAMBA WATAKUWA WAMESHAWASILI,,,,JE UTAANZA KUMUOKOA NANI MKEO AU MAMA.?
MI SIMO..............................
Duh! firstlady una roho ngumu mi ningemuokoa alie karibu.ili kubalance unawaacha wote

Sahihisha huu mwaka. Niatarudi badae
Kama wamezewa kupiga kelele, basi watajitahidi kujiokoa.... We rudi upambane na Mamba wasiwafikie wapendwa wako... Bora ufe wewe kwa ajili yao...
Mkuu wa kaya yako ana kazi...ili kubalance unawaacha wote
:drum:WAUNGWANAEEEEEEEE HERIN YA MWAKA MPYA...............2011
SKIA HIIIII!!!!!!!!!
MPO SAFARINI WEWE NA MAMA YAKO NA MKE WAKO KWENYE MTUMBWI MNAVUKA MTO UPANDE WA PILI MARA GHAFLA GHARIKA LIKATOKEA NA MKABWAGWA KWENYE MAJI, KATIKA KUJARIBU KUJIOKOA UKAJIKUTA WEWE NDIO PEKEE UNAWEZA KUOGELEA, HALAFU MTO WENYEWE UNA MAMBA, MAMA ANAPIGA KELELE MWANANGU NIOKOE NA MKEO NAYE MME WANGU NIOKE, MARA GHAFLA MAMBA NAO HAO WANATIA TIMU NA ATAKAE KUWA WA KWANZA KUOKOLEWA NDIO ATAPONA MAANA UKISEMA UMRUDIE WA PILI TAYARI MAMBA WATAKUWA WAMESHAWASILI,,,,JE UTAANZA KUMUOKOA NANI MKEO AU MAMA.?
MI SIMO..............................
Aliye karibu yako ndio utamuokoa
Hapo pagumu sana especially kama wife wako mnaelewana sana ila kama mnaishi bora siku ziende utakuta unaelekea zaidi upande wa mama. Maana ktk situation kama hiyo, you become faithful to yourself, you listen to your heart.:drum:WAUNGWANAEEEEEEEE HERIN YA MWAKA MPYA...............2011
SKIA HIIIII!!!!!!!!!
MPO SAFARINI WEWE NA MAMA YAKO NA MKE WAKO KWENYE MTUMBWI MNAVUKA MTO UPANDE WA PILI MARA GHAFLA GHARIKA LIKATOKEA NA MKABWAGWA KWENYE MAJI, KATIKA KUJARIBU KUJIOKOA UKAJIKUTA WEWE NDIO PEKEE UNAWEZA KUOGELEA, HALAFU MTO WENYEWE UNA MAMBA, MAMA ANAPIGA KELELE MWANANGU NIOKOE NA MKEO NAYE MME WANGU NIOKE, MARA GHAFLA MAMBA NAO HAO WANATIA TIMU NA ATAKAE KUWA WA KWANZA KUOKOLEWA NDIO ATAPONA MAANA UKISEMA UMRUDIE WA PILI TAYARI MAMBA WATAKUWA WAMESHAWASILI,,,,JE UTAANZA KUMUOKOA NANI MKEO AU MAMA.?
MI SIMO..............................
Hapo pagumu sana especially kama wife wako mnaelewana sana ila kama mnaishi bora siku ziende utakuta unaelekea zaidi upande wa mama. Maana ktk situation kama hiyo, you become faithful to yourself, you listen to your heart.
Wa o, wa o, wa o, tumekumiss Bubu Ataka Kusema ulikuwa wapi?Kulikuwa na wimbo miaka ya nyuma uliuliza swali kama hili. Katika wimbo huo Njemba kama nakumbuka vizuri alikuwa na Wazazi wake wote wawili, Mke na mtoto. Kisha wakatunga mwimbo mwingine kujibu swali lao. Na jibu lao lilikuwa Baba na Mama wamekula chumvi nyingi , hivyo muokoe mkeo ambaye atakuzalia watoto wengine kwa maana hiyo na mwanao pia umuache apotee majini. Sijui kama wengi watakubaliana na jibu hili. Vyovyote utakavyoamua utabaki na majonzi ya hali ya juu for the rest of your life.
Wa o, wa o, wa o, tumekumiss Bubu Ataka Kusema ulikuwa wapi?
Katika mpangilio wa kuhesabu namba huwezi kuanza na 2 lazima utaanza na 1, kwa hiyo namba moja ni yule aliye karibu yako ndiye utakayeanza naye,Ni sawa kama ni mama basi nitamuokoa yeye na kama ni wife pia sawa.