Hii neema ya masika ni kwasababu ya misitu ya Congo

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,310
Reaction score
4,207
Wataalam wa mambo ya anga na hali ya hewa wanadai mvua zinazoendelea kunyesha sasa hivi msimu huu wa masika zinatokana na misitu ya Congo na afrika ya kati kwa ujumla.

Nawapongeza wanaharakati wanaopigania kulinda misitu duniani hasa Amazon, Afrika ya kati na Asia na kuhamasisha upandaji wa miti.

Tupandeni miti na tutunze mazingira.

adriz de mbusii
 
Na msitu wa Kazimzumbwi unaleta mvua gani?
 
Amazon forest the lungs of earth.
Ila hawa watafiti nao michosho sana. Wakati stiglers inajengwa wakasema imekatwa miti milioni mbili hivyo mvua hazitanyesha na bwawa litajaa baada ya miaka 10. Mungu si asumani bwawa kabla halijaisha ilipiga mvua likajaa hadi wakafungulia maji yakaleta mafuriko makubwa sana.
 
Walikuwa na chuki binafsi na jiwe.😅
 
Sasa itakuwaje maana milima na mawe ilishapigwa jua Kwa muda hivyo imeshatanuka na mvua zikiwa nyingi c zitapasuka hovyo tu
 
Sasa ukiambiwa barafu ya Antarctica na Greenland ndio inabalance joto la dunia utakubaliana sasa? Kama huoni coverage ya msitu wa Congo sqkm 3.7 million na Amazon sqkm 5.5 million?
 
Ila hawa watafiti nao michosho sana. Wakati stiglers inajengwa wakasema imekatwa miti milioni mbili hivyo mvua hazitanyesha na bwawa litajaa baada ya miaka 10. Mungu si asumani bwawa kabla halijaisha ilipiga mvua likajaa hadi wakafungulia maji yakaleta mafuriko makubwa sana.
Vita ya kiuchumi kweli ipo
 
Back
Top Bottom