The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Jan 9, 2012 #1 Kuna zile stori huwa tunasikia "kataka kudaka mpira kaona moto" sasa sijui hapa ndicho kilichotokea?..."kataka kupiga mpira kaona paka"...
Kuna zile stori huwa tunasikia "kataka kudaka mpira kaona moto" sasa sijui hapa ndicho kilichotokea?..."kataka kupiga mpira kaona paka"...
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Jan 9, 2012 #2 mzungu si angezimia!..wapi hapa, Nigeria nini?
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Jan 9, 2012 #4 unampiga huyo huyo paka arudi aliko toka. Mia
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,163 Jan 9, 2012 #5 tena ashukuru hata wametuma paka, wengemletea simba hapo
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Jan 9, 2012 #6 Ee bwana eeee. hapo sio bure kuna mkono wa mtu