Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,006
Ulivyofika maeneo hayo, mtu wa kwanza kabisa kuonana nae alikuwa ni nani? Na unakumbuka maneno ya kwanza huyo mtu kuyatamka yalikuwa maneno gani? Na je, kati yenu nani alianza kumuongelesha mwenzake?siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwah kuipita, yan unaiona njia inaelekea huko ila sjajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje,mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikshtuka kulipokucha sikuifatilia sana nokaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hio njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekua najiuliza hii sehem niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nn?
kwenye ndoto nilikua nimekaa kama ninayeshangaa hapa ni wapi na trust me mwenye nyumba hakutokea mpaka mwisho wa ndoto na uhalisia n the same, na maneno sikumbuki alikua mwanamke,Ulivyofika maeneo hayo, mtu wa kwanza kabisa kuonana nae alikuwa ni nani? Na unakumbuka maneno ya kwanza huyo mtu kuyatamka yalikuwa maneno gani? Na je, kati yenu nani alianza kumuongelesha mwenzake?
NDugu yangu wewe utafika mbali sana kisiasa, hiyo njia inaashiria unatoka chini kabisa kisiasa mpaka juu kabisa, hiyo minazi mitatu ni Rais, waziri mkuu na Makamu wa rais mnajadili jambo kwa pamoja....kwa kifupi hiyo sehemu ni Ikulu....umetusua kijana.siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwah kuipita, yan unaiona njia inaelekea huko ila sjajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje,mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikshtuka kulipokucha sikuifatilia sana nokaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hio njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekua najiuliza hii sehem niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nn?
sawaNgoja wajuvi waje watuambie 🤒😎
hahahahahhaaa 😂😂😂 hapana sipendi siasaNDugu yangu wewe utafika mbali sana kisiasa, hiyo njia inaashiria unatoka chini kabisa kisiasa mpaka juu kabisa, hiyo minazi mitatu ni Rais, waziri mkuu na Makamu wa rais mnajadili jambo kwa pamoja....kwa kifupi hiyo sehemu ni Ikulu....umetusua kijana.
Vipi kwenye uhalisia?kwenye ndoto nilikua nimekaa kama ninayeshangaa hapa ni wapi na trust me mwenye nyumba hakutokea mpaka mwisho wa ndoto na uhalisia n the same, na maneno sikumbuki alikua mwanamke,
Kwahiyo hutaki kuwa wazirl mkubwa?.hahahahahhaaa 😂😂😂 hapana sipendi siasa
hivyohivyo mwanamke, mtu mzima mweupe wa mkamoVipi kwenye uhalisia?
amina kwahiyo haina maana yoyote hii? sikumbuki kuwa na ndoto ya aina hii inanifikirisha mana ndoton naumiza kichwa hapa n wapi uhalisia hivyohivyo tena nikasema kabisambona kama hapa sio pageni machoni mwanguUnatakiwa ujue,
Unapowaza au kupanga safari kwenda Mahali Fulani ambapo hujawahi fika,
Roho Yako huenda huko kabla ya MWILI, na ndoto ni taarifa ya kitu halisi ulichofanya katika Ulimwengu wa Roho wa NDOTO.
Ndoto ni HALISI,
Na mtu ndiyo ndoto yenyewe, kamwe usipuuzie ndoto, ni HALISI.
Ubarikiwe.
hapana kwa kweliKwahiyo hutaki kuwa wazirl mkubwa?.
Hayo utaiambia mamlaka ya uteuzi.hapana kwa kweli
Inamaanisha soon utalamba uteuzi kama wewe ni kadaSiku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje.
Mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikishtuka kulipokucha sikuifatilia sana nikaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hiyo njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekuwa najiuliza hii sehemu niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nini?
mbona hii siamini sanaHayo utaiambia mamlaka ya uteuzi.