Hii ndoto ina maana gani?

Hii ndoto ina maana gani?

Vyombo vya usafiri huakisi maisha, dereva ni mtu fulani anaesimia mambo fulani yanayowahusu.Ameongoza maisha kwa uwezo mzuri sasa kuna vikwazo vizito vimejitokeza, ameamua kukukabidhi wewe jukumu la kuiongoza.
Kumbuka treni ina njia yake, utajitahidi kuivuka misukosuko kwa juhudi na maarifa na baadae utafanikiwa.yaweza kuwa ni maisha ya kikazi au familia au ukoo.Cha msingi utafanikiwa.
 
Utapatwa na matatizo magumu sana ila ujipe moyo, usikate tamaa. Treni kupita bila reli yake sio mchezo. Utafanikiwa kwa miugiza, kwani ukimwambia mtu imeendesha treni bila reli yake hataamini.
 
Duh, Utatoka kwenye reli mkuu halafu baadae tena utarudi.
Jamaa yako atakusaidia halafu atakuacha wakati amekuacha utayumba sana lakini baadae utarudi kwenye reli.
Mawazo yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom