Hii ndoto ina maana gani?

Hii ndoto ina maana gani?

Amka ndotoni fanya kazi uingize hizo ela.
Kuna muda nakuwa na hela lakini zinavyotoweka hata sielewi na hapo unaweza kuta sijafanya matumizi yoyote yale

Au Mfano unajijua mfukoni una 1,000/= unafanya matumizi ya 200 kwa nidhamu ya hali ya juu sana ukijua unabakiwa na 800 cha ajabu unaweza jikuta na 500 au hamna kitu kabisa.
 
tafuta pesa dogo.....ndoto waachie waganga.........ndoto njema na ya ukweli ni ya kupiga bao usingizini.....hi ni AFYA......nyingine mbwembwe za ibilisi......
 
tafuta pesa dogo.....ndoto waachie waganga.........ndoto njema na ya ukweli ni ya kupiga bao usingizini.....hi ni AFYA......nyingine mbwembwe za ibilisi......
Hiyo bango la usingizini si shoga yake IBilisi pia au....mimi sielewi mambo.
 
Kama vile jinsi zilivyo ndoto nyingine, mara nyingi kunapokucha unaweza ukaikumbuka kwa sehemu fulani au ukaisahau yote kabisa ila event muhimu huwa inabaki kwa kichwa hii yangu nimeota usiku wa jana kuamkia leo.

Siikumbiki yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho ila nakumbuka event muhimu tu ndani ya ndoto nayo imekaa hivi.

Sikumbuki ni mazingira gani au ilikuwaje,ila nimeota nimepata HELA nyingi sana.

Ile kunakucha huwezi amini nimetamani maisha ya ndoto kuliko ya awamu ya 6.

Na nataamani itokee hii, watalamu wa hizi mambo hii imekaaje?
tafsiri yake utakuwa masikini hadi waingia kaburini
 
Familia ya mtu mvivu pekee ndo inaweza kufa maskini.
 
usitegemee,,,,hicho unachikafanya kisimamie vema.....utafika.....
Nakubali maoni na ushauri wako,kuna watu siku ya mwisho wataivishwa kwa kuni nyingi tena zilizokomaa vizuri.
 
Mkuu binafsi sina imani na hizo imani ila najua kuna watu ama vitu fulani vina-exit

Na ndugu yangu 1 aliwahi kunambia kuwa wewe kuna watu wanakutafuta na ukikaa vibaya watakumaliza kabisa lakini sikumtia maanani sana,naweza sema nilimpuuzia kwa sababu sina imani kabisa na mambo hizo

Ila cha ajabu huyu jamaa alikuwa akiongea kama namwelewa kwa sababu alikuwa analenga vitu vyangu vile vile alafu kuna wakati nakumbuka alikuwa ananipigia simu mara kwa mara akinisihi niache pombe,na wanawake.

Akanambia hivyo ndo vitu vikuu ulimwengu fulani ambao wewe huwezi kuona kwa macho ila ndo wanavitumia kukufikia.

Pia alinambia leo unakutana na majaribu fulani fulani ambayo mengine hata wewe binafsi huelewi,na kipindi utakapoamua kubadilisha gear ya mwendo wako hapa ndo utakutana na majaribu mia kidogo hii ni kwa sababu ulimwengu wa giza wanatambua kuna kondoo anataka kutoroka zizini nao hawako tayari kwa hilo na ndio maana majaribu yatakuwa ni mengi mno.

Na mara nyingi nikiongea nae huwa anasema nikumbuke siku zote ulimwengu wa giza hau-deal na watu ambao sio pontential kwao mara zote hu-deal na watu ambao pure.
Daah aisee nimejawa na hofu sana juu ya haya maneno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom