King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,203
- 4,394
Kama vile jinsi zilivyo ndoto nyingine, mara nyingi kunapokucha unaweza ukaikumbuka kwa sehemu fulani au ukaisahau yote kabisa ila event muhimu huwa inabaki kwa kichwa hii yangu nimeota usiku wa jana kuamkia leo.
Siikumbiki yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho ila nakumbuka event muhimu tu ndani ya ndoto nayo imekaa hivi.
Sikumbuki ni mazingira gani au ilikuwaje,ila nimeota nimepata HELA nyingi sana.
Ile kunakucha huwezi amini nimetamani maisha ya ndoto kuliko ya awamu ya 6.
Na nataamani itokee hii, watalamu wa hizi mambo hii imekaaje?