Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ROGERSHINE, Oct 25, 2012.

 1. R

  ROGERSHINE Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
  najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata


  kwa upande wa vyuo bora
  1.UDSM
  2.SUA
  3.MUHAS
  4.HUBERT KIARUKI
  5.ARDHI

  kwa upande wa vyuo vya kata
  1.UDOM
  2.ST AGUSTIN
  3.IFM
  4.EKENRORD TAN5
  5.CBE
   
 2. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe una utani wenye ukweli hahahahaha...
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  ubora wako unaupima kwa kitu gani? je unawajua vyema graduates wa IFM?
  wewe najua bado boom liko sasa jishaue kununua hutu tu vocha twa MB uishiwe mapema uone kama hukula nyasi
   
 4. Brodre

  Brodre JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  wewe ni ki..za uliochaguliwa kwenda chuo ama umri haujaruhusu yani mdogo au kwa kuhonga nyie ndo mnakujaga kua kama akina naibu waziri wa elimu zimbabwe pemba na tanganyika formed Tanzania wahtaji maombezi bila hivo supp zakuhusu sana jipangeeee...
   
 5. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,056
  Likes Received: 7,077
  Trophy Points: 280
  University of Arusha unakiweka kwenye kundi gani? Toa sababu.
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kumbe nilipita chuo bora eeeeh!
   
 7. L

  Luraja Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona ww unaongea bila kuwa na data sahihi nenda kwenye rank ya vyuo bora Africa harafu uangalie rank yako kama hiko sahihi.Acha ujinga bwana.
   
 8. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  njooni mtaani ndo mtajua uo ushamba utaisha tu
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hehehe... Sasa mkuu mbona unatafuta ugomvi:D
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Vigezo gani umetumia kutengeneza makundi hayo mawili? Kama umeamua kwa kujisikia basi unazidi kuiaibisha taaluma yako!
   
 11. m

  maswitule JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Huwezi kufananisha Kondoo na Mbuzi hata kama wote ni wanyama wanaocheua; Umejiuliza maswali ya msingi kwamba vyuo hutofautiana kwa courses. Kwa mfano SUA ni cha kilimo utalinganishaje na UDSM, MUHAS ni cha afya unalinganishaje na IFM? Acha kulinganisha aliyevaa kaputura na mwingine suti yupi amependeza bila kuangalia mazingira gani? Hujui ukivaa suti shambani kila mtu atakushangaa hata kama utakuwa mahili kwa kulima.
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu ulitabiri vema lazima upate diss za kutosha............
   
 13. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  bongo vipo vyuo zaidi ya 20,lakini ww umetaja 10..!!sasa unataka tuchangie nini hapo??jipange then rudi tena.
   
 14. franciswilliam

  franciswilliam Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hakuna lolote,,,,bado tu hujaelimika wewe ? Hakuna chuo bora hata kimoja,,,chuo bora ni kichwa chako,,,,we wa wapi kila cku unaelimishwa ? Badilika kijana
   
 15. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hamna chuo bora kuna mwanafunzi bora, naona bado una spirity ya UKILAZA kwa kuvigawa vyuo katika makundi unayojua wewe bila kuweka wazi vigezo ulivyotumia kufanya hivyo, kwa kujifanya mjuaji
   
 16. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  tatizo la shule za kata, hata kuandika haujui.
  Soma dogo acha kujidanganya,
  ukija mtaani ndo utajua maisha yakoje.
   
 17. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huu ni uppuzi mwingine tulionao vijana hapa bogo, mbona unaishai kusema 2 vyuo bora huweki vigezo unavyovitumia? na mara nyingi watu kama nyie ni ambao hamjamaliza masomo yenu, mnafikiri maisha ni rahisi kwa kupitia vyuo mlivyosoma, ndo maana utasikia, nina degree ya sociology ya UDSM, sheria ya Mzumbe!
   
 18. Kagosaki

  Kagosaki JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Labda ungetupa CV yako tuichambue hapa! Inaonekana uko gizani sana. You do not have such level of analysis pamoja na kwamba "ulihudhuria" chuo.
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yaani yeye kwa akili yake hivyo ndo vyuo pekee anavyovijua hapa bongo, tumwache, nae kaanzisha thread
   
 20. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 894
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  Nafikiri mtoa mada naye ana akili za kata!mwisho wake wa kufikiri ni kwenye kata yake tu.
   
Loading...