Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

kila mtu anauhuru wa kuongea na kutoa maoni...sosi katiba ya tanganyika
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

jipange tena ndugu yangu fanya research upya,then research yako isiishie vyuoni nenda hata makazini ukaangalie hata perfomance ya kazi kutoka kwa wahitimu wa vyuo husika, Then Nenda kwa Recruiting Agency angalau hata 15, jaribu kuwauliza watu wanaokuja kwenye interview jinsi gani wanavyokuwa safi au wabovu. Baada ya hapo omba mwaliko sehemu yoyote ile wanapoconduct interview at least uhudhulie na ujaribu na wewe kuwauliza maswali candidates wa interview angalau Mara tano , Then utakuja na list nzuri sana ya vyuo bora na visivyo bora.
 
ROGERSHINE, acha kutafuta attention hapa JF! ingia google ucheki materials mbalimbali ufanye assignment yako vizuri, mwalimu si amesema deadline yaku-submit assignment ni kesho mchana??
 
Last edited by a moderator:
Mhm mbn jamani kuna shule bora za secondary,ndo mana nayy akarank vyuo,japo cjui kapata wap matokeo yao...ni hoja yangu tuuuu
 
Acha ushamba bwana,baadhi ya vyuo ulivotaja hapo ni chips mayai na sambusa,unadiriki kuacha vyuo vya majembe na madude kama DIT vilaza kama wewe hugusi pale!
 
jipange tena ndugu yangu fanya research upya,then research yako isiishie vyuoni nenda hata makazini ukaangalie hata perfomance ya kazi kutoka kwa wahitimu wa vyuo husika, Then Nenda kwa Recruiting Agency angalau hata 15, jaribu kuwauliza watu wanaokuja kwenye interview jinsi gani wanavyokuwa safi au wabovu. Baada ya hapo omba mwaliko sehemu yoyote ile wanapoconduct interview at least uhudhulie na ujaribu na wewe kuwauliza maswali candidates wa interview angalau Mara tano , Then utakuja na list nzuri sana ya vyuo bora na visivyo bora.

utajuaje yy keshafanya hayo ulotaja ndo akaja na conclusion hyo?mayb aweke kitakwimu
 
Hehehe... Why JF members ikitajwa UDMS roho haziwatulii... Vidole vinawasha mpaka wa diss
 
bongo vipo vyuo zaidi ya 20,lakini ww umetaja 10..!!sasa unataka tuchangie nini hapo??jipange then rudi tena.

I was looking for your comment....sikutegemea kuwa ungekuja kiupole hivi hasa ukizingatia chuo chako hakikutajwa...Anyway la msingi anatakiwa aweke vigezo otherwise hakuna cha kuchangia hapo..
 
Hahahahahahaa nafikir akili yako finyu kama ubongo wa sisimiz unajua kabisa lazima upoke dis nyingi coz k2 ni cha kijinga jipange broo na co kukurupuka kama vp xoma post za wa2 co lazima upost k2.
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

Tehe teheh kijana unatafuta kutafunwa mbichi wewe! lol
 
ubora wako unaupima kwa kitu gani? je unawajua vyema graduates wa IFM?
wewe najua bado boom liko sasa jishaue kununua hutu tu vocha twa MB uishiwe mapema uone kama hukula nyasi

=gfsonwin wangu mbona umekuja juu sana kama moto wa kifuu, inahu.....!! Ni maoni yake tu, just live it.
 
We mtu anaandika thread akiwa na constipation unategemea nini?
Nijibu kwanza haya maswali

1.mwalimu anayemaliza Ud na Udom tofauti ya mshahara wao ni sh ngap?
2.dactar wa udom na dactar wa Ud au Muhas wanapangiwa hospitali tofauti?
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

Mtoa maada amenifanya nianze kuichukia Jf maana hajui anachokiongea.
Maada kama shule bora,vyuo bora and the like zinapaswa kujadiliwa na watu walio shule za msingi!
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
Mimi nimehitimu Mzumbe nasasa nafundisha UDSM hivi Mzumbe universty ni cha ngapi?
 
Back
Top Bottom