Hii ndo tofauti ya Soul Mate Vs Love Mate

DAH, HONGERA SANA MKUU.
 
Waoh!!😍 Haka ka story Jamani...Mungu awatunze siku zote za maisha yenu.
 
Soulmate nilifanikiwa kudumu nae miaka mitano hawa bana penzi aliexipire wala hamchokani,kila siku ni furaha tu nilienjoy sana ila tuliachana nilimcheat, but anampango wa kurudisha majeshi huyu mwanamke japo kwa upande wangu ntamdanganya maana nishakua hit an run
 
Hata sielewi...
najua unashindwa kutofautisha sababu unaangalia zile up & down za life, hebu ziweke pembeni kisha uangalie kama moyo wako unamuelewa tu pasina sababu hapo ndo utapata jibu sahihi.
 
Wow....!
 
Nilikutana nae ktk mitandao ya kijamii , baada ya kuzungumzaxnae zaidi wiki kadhaa kama rafiki wa kawaida nikamuomba anitemblee oficn kwangu.

Pasipo kupinga akafika mida ya saa 6 tukazungumza sanaaaaaa tukapata chakula cha mchana kwa pamoja kisha akaondoka zake.

Cku nyingine tukapanga tukutane mahali Fulani ,Fulani wakati nakaribia kutoka kazini nikapata safali ya dhalula ambayo. Ingechukua zaid ya masaa 2 na tuliapanga kukutana saa 10 jioni na muda huo alikuwa ashafika eneo la tukio, itabidi nimweleze ukweli aliumia sana .

Cku nyingine nikamuomba apitie nyumbani akakataa akasama anaishia kituo cha gali nitafute mahali tuzungumze ,nikafuta sehemu tulivuuu nikawa napata juis ya tende huku naongea na bint mreeembo itabidi nimweleze hisia zangu maana mpaka kufika hapa nikahisi nikizidi kuchelewa itakula kwangu , akaata pale pale na akasema ana mtu wake, tukaagana akaondoka zake.

Baada ya bembeleza sana kwa karibia wiki kadha nakuona haeleweki nikamwambia nimefika mwisho nikafuta kila kinachomuhusu na mm nikasafili bila kumwambia nikaenda mbaali ambapo huko ww ndio unaanza ww kupiga cm tena juu ya kuchuguu.nikaa huko kama miezi 2 nikarudi zangu cku moja nipo zangu home huko mkoani naona namba ngeni kupokea nikasikia sauti ya yulee bint nikamwambia unanitafutia nn wakati umenikataa na hunipendi ,akaniambia kama nilikuwa ckupendi nisingekutafuta mahabati yakaanzi hapo.

Niliporudi dar nikaomba kukagua Mali ilikuwa vita ya 3 ya dunia kumbe bint hajawai guswa na mlume yeyote mwisho wa cku nikachana nyavu hahahaaa , full mahaba bint hana tamaaa za kijinga anajielewa unaweza mnunilia zawadi ya 20 elfu kumbe yeye amenunua zawadi ya 25 kwa ajili yako anaweza akajuomba 5000 ukimwambia njoo uchukue abakuletea zawadi ya 10000 , anakusikiliza ukiwa na hitaji lolote lile yaani mwakani ndoa , sasa nampata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo tu unachati nae wiki anaanza kukuomba vocha nakuona ww bwege mwenzio cjawai kuombwa vocha huwa naamua tu,

Unapata rafiki yaani hakupigii wala kukutumia sms lkn yupo online ukimuuliza kulokoni anakwambia sina salio nakuona ww bwege kwa sababu kila saa 12-2 asubui lazima nipate cm au sms ya kunijulia nivyoamka haijalishi ninaumwa au Niko poa , HV huyu nimuweke ktk kundi gani wana Zengo?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mkemate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…