Hii ndo tofauti ya Soul Mate Vs Love Mate

Alinisaidia jambo kwa ufasaha na ukarimu kabisa..sikua namfaham akaondoka. Hakuniomba namba chaajabu nikaanza kumfikiria kila siku. zikapita week kadhaa bila kumuona tena nikaanza kumuomba mungu (nikiwa naswali ) nimuone tena.

Baada ya week ya maombi nikakutana nae akanisalimia na kuniomba namba nilimpa haraka sana (nilikua na boyfriend) . Nakumbuka alinipigia nikiwa nashuka kwenye daladala baada ya kutoka chuo. Moyo ukalipuka nikapokea. Chaajabu tuliongea zaidi ya masaa mawili na tuliongea vitu vingi kwa furaha kama tunajuana muda mrefu hakuna alieboreka maongezi yalituvutia wote. Aliniambia anahitaji watoto watatu akishaoa(hua anasema alijishangaa hata yeye kuongelea habari za watoto siku ile) .

Baadae tukaagana tukiwa bado tunaham ya kuongea akaniambia nikimaliza shughuli zangu kabla ya kulala nmtafute.
DAH, HONGERA SANA MKUU.
 
Nilimtafuta saa nne sharp maana nilikua nasubiri kwa ham kuongea nae.Tuliongea mpaka nikasikia jogoo akiwika ikabidi tulale japo tulitaka kuongea zaidi. Asubuh nikamkuta kituoni ananisubiri nikamhug ikawa ratiba(kuongea,kunisubiri kituoni na kunisaidia kimasomo). After a week nikabreak na mpenz niliekua nae.

7 years now together with one kid (bado ananidai wawili anasema ) I still feel the same way I felt the first day we talked. He still treat me the same(queen treatment ).I still see the real love in his eyes when he looks at me.

Is he my soulmate? ....Yes he is.. I pray God will continue to keep him safe for us (Me and my daughter).Love you S.
Waoh!!😍 Haka ka story Jamani...Mungu awatunze siku zote za maisha yenu.
 
Soulmate nilifanikiwa kudumu nae miaka mitano hawa bana penzi aliexipire wala hamchokani,kila siku ni furaha tu nilienjoy sana ila tuliachana nilimcheat, but anampango wa kurudisha majeshi huyu mwanamke japo kwa upande wangu ntamdanganya maana nishakua hit an run
 
Hata sielewi...
najua unashindwa kutofautisha sababu unaangalia zile up & down za life, hebu ziweke pembeni kisha uangalie kama moyo wako unamuelewa tu pasina sababu hapo ndo utapata jibu sahihi.
 
Alinisaidia jambo kwa ufasaha na ukarimu kabisa..sikua namfaham akaondoka. Hakuniomba namba chaajabu nikaanza kumfikiria kila siku. zikapita week kadhaa bila kumuona tena nikaanza kumuomba mungu (nikiwa naswali ) nimuone tena.

Baada ya week ya maombi nikakutana nae akanisalimia na kuniomba namba nilimpa haraka sana (nilikua na boyfriend) . Nakumbuka alinipigia nikiwa nashuka kwenye daladala baada ya kutoka chuo. Moyo ukalipuka nikapokea. Chaajabu tuliongea zaidi ya masaa mawili na tuliongea vitu vingi kwa furaha kama tunajuana muda mrefu hakuna alieboreka maongezi yalituvutia wote. Aliniambia anahitaji watoto watatu akishaoa(hua anasema alijishangaa hata yeye kuongelea habari za watoto siku ile) .

Baadae tukaagana tukiwa bado tunaham ya kuongea akaniambia nikimaliza shughuli zangu kabla ya kulala nmtafute.

Nilimtafuta saa nne sharp maana nilikua nasubiri kwa ham kuongea nae.Tuliongea mpaka nikasikia jogoo akiwika ikabidi tulale japo tulitaka kuongea zaidi. Asubuh nikamkuta kituoni ananisubiri nikamhug ikawa ratiba(kuongea,kunisubiri kituoni na kunisaidia kimasomo). After a week nikabreak na mpenz niliekua nae.

7 years now together with one kid (bado ananidai wawili anasema ) I still feel the same way I felt the first day we talked. He still treat me the same(queen treatment ).I still see the real love in his eyes when he looks at me.

Is he my soulmate? ....Yes he is.. I pray God will continue to keep him safe for us (Me and my daughter).Love you S.
Wow....!
 
Nilikutana nae ktk mitandao ya kijamii , baada ya kuzungumzaxnae zaidi wiki kadhaa kama rafiki wa kawaida nikamuomba anitemblee oficn kwangu.

Pasipo kupinga akafika mida ya saa 6 tukazungumza sanaaaaaa tukapata chakula cha mchana kwa pamoja kisha akaondoka zake.

Cku nyingine tukapanga tukutane mahali Fulani ,Fulani wakati nakaribia kutoka kazini nikapata safali ya dhalula ambayo. Ingechukua zaid ya masaa 2 na tuliapanga kukutana saa 10 jioni na muda huo alikuwa ashafika eneo la tukio, itabidi nimweleze ukweli aliumia sana .

Cku nyingine nikamuomba apitie nyumbani akakataa akasama anaishia kituo cha gali nitafute mahali tuzungumze ,nikafuta sehemu tulivuuu nikawa napata juis ya tende huku naongea na bint mreeembo itabidi nimweleze hisia zangu maana mpaka kufika hapa nikahisi nikizidi kuchelewa itakula kwangu , akaata pale pale na akasema ana mtu wake, tukaagana akaondoka zake.

Baada ya bembeleza sana kwa karibia wiki kadha nakuona haeleweki nikamwambia nimefika mwisho nikafuta kila kinachomuhusu na mm nikasafili bila kumwambia nikaenda mbaali ambapo huko ww ndio unaanza ww kupiga cm tena juu ya kuchuguu.nikaa huko kama miezi 2 nikarudi zangu cku moja nipo zangu home huko mkoani naona namba ngeni kupokea nikasikia sauti ya yulee bint nikamwambia unanitafutia nn wakati umenikataa na hunipendi ,akaniambia kama nilikuwa ckupendi nisingekutafuta mahabati yakaanzi hapo.

Niliporudi dar nikaomba kukagua Mali ilikuwa vita ya 3 ya dunia kumbe bint hajawai guswa na mlume yeyote mwisho wa cku nikachana nyavu hahahaaa , full mahaba bint hana tamaaa za kijinga anajielewa unaweza mnunilia zawadi ya 20 elfu kumbe yeye amenunua zawadi ya 25 kwa ajili yako anaweza akajuomba 5000 ukimwambia njoo uchukue abakuletea zawadi ya 10000 , anakusikiliza ukiwa na hitaji lolote lile yaani mwakani ndoa , sasa nampata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo tu unachati nae wiki anaanza kukuomba vocha nakuona ww bwege mwenzio cjawai kuombwa vocha huwa naamua tu,

Unapata rafiki yaani hakupigii wala kukutumia sms lkn yupo online ukimuuliza kulokoni anakwambia sina salio nakuona ww bwege kwa sababu kila saa 12-2 asubui lazima nipate cm au sms ya kunijulia nivyoamka haijalishi ninaumwa au Niko poa , HV huyu nimuweke ktk kundi gani wana Zengo?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mkemate
 
Back
Top Bottom