chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,688
- 45,951
Hahahaa mkuu wahi sababu wateja leo wanajichomea nyama wenyewe kila mtu ni mtaalamu hapa ni mshike mshike kitim tim.Natamani nije fasta hapo, embu mwambie mpishi hapo achome kuku hapo jikoni fasta, nakuja na wine Boss
Achana na hao wachaga...safari moja wanajichanga mwaka mzima!!Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Wanatafuta mwaka mzima alafu desemba wanakutana kwa ajili ya ibada ya pamoja sasa wewe si unaenda Tanga kila unapojisikia kwa kuwa huna kazi ya kufanya umekalia tu mapenziWachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Sie huku Yaeda Chini tunashukuru serikali imetupatia heka 700 za kufanya maisha!...hii ndo kirisimasi yetu!Teh pole
Ingilia kati wewe sasaSasa ww unataka mamlaka zipi ziingilie kati utaki watu waende kwao.
Nimezaliwa Ngara, naishi Mtwara, Mr wangu anajenga Dar. Sasa hapa kwetu ni wapi?Huu nao ni wivu wa kijinga, nenda na wewe kwenu, Wee utakua kabila la sizonje tu
Duh aiseeUsiku itakua mbaya zaidi
Jioni hii hali ni tete
girl we got egos they can't tell us we ain't shitWachagga punguzeni sifa
what a coincidence? Ujue hata mimi nilishagoma kuoa pande hizo, mbwembwe za kwenda kuonesha bingwa wa kulewa ukweni sizitaki. Kwa hiyo Xmas hii wewe uko pande zipi?Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Pare+Gweno+other tribes is very insignificant! Less than 4%. Mark my wordsgirl we got egos they can't tell us we ain't shit
Nimetania bana, ila moshi mji mkubwa sio wachaga tu kuna wapare na wagweno na watu wengi nje ya Kilimanjaro, acha ukabila
Chuki binafsi, kama mkimbizi Tanzania rudi kwenu, acha watu na tamaduni zao bana, ni moja tukio kubwa sana ndani ya Tanzania kwa wachaga kwenda kwao kwa wingi, Nashauri itangazwe kuwa ni moja kivutio cha watalii kutembelea moshi msimu huu.Hawa watu wanataka wasifiwe kwa sifa za kijinga tu, mle mkalale bhanaa.., moshi moshi kitu gani..
Fikra finyu.Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Good for youSie huku Yaeda Chini tunashukuru serikali imetupatia heka 700 za kufanya maisha!...hii ndo kirisimasi yetu!
Kwani wao wenyewe wanamtaka mwenye RAMBOWanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Ha ha haa,jamaa ana chuki huyu.Hawa watu wanataka wasifiwe kwa sifa za kijinga tu, mle mkalale bhanaa.., moshi moshi kitu gani..