Kwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame
Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.