mie sielew huo uzuri au ugumu wa EPL kina totenham wanagawa vipigo kwa mancity, wanaisumbua arsenal kwelikweli lakin tumeona kwe champion league amekutana na monaco amepigwa nje ndani, akakutana leverkusen damu tupu..hizi timu za EPL zikichepuka tu zikakutane na Dortmund zinakaa,timu za uingereza hazijawah hata kumfunga PSG,,,Kimtazamo wangu EPL ni ligi ngum kwakuwa timu shiriki zina viwango tu vinavyofanana tu na amna timu yenye uwezo wa juu level ya barcelona na madrid au bayern