Hii ndo Bongo

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Wamama wawili walijikuta
magari yao yamegongana.
Wakashuka kwenye gari
wakaanza kutoleana kashfa,
hasa yule aliyekuwa na vogue
akamtukana sana mwenye
Kivitz, japokuwa ndie aliyekuwa
na makosa. Mwenye Kivitz
akampigia mumewe simu.
MAMAKIVITZ: Mume wangu
ninatatizo
MUME: Jamani niko bizy
mkutanoni hebu lisov
mwenyewe
MWENYE VOGUE akasema
anampigia boy friend wake
ndiye atakae ongea.
MWENYE VOGUE:Baby kuna
mjinga mmoja kagonga gari
uliloninunulia, please njoo
uongee nae she is so stupid,
nahisi na mume wake stupid
kama yeye.
BOYFRIEND: Baby I am coming,
unajua watu wa jiji hili
wamechanganyikiwa ngoja nije
nifunze adabu.
Muda si mrefu jamaa akaja,
kumbe alikuwa ndiye mume wa
MAMAKIVTZ......kila mtu amalizie
sinema hii
 
Ama kweli kimeumana. Huyo mke wa halali alichukua uamuzi gani jamani? Wenye ndoa wachunge ndao zao kuepusha aibu.
 
Ama kweli kimeumana. Huyo mke wa halali alichukua uamuzi gani jamani? Wenye ndoa wachunge ndoa zao kuepusha aibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…