nchi ilichezewa kweriii kweriii,
Na saivi mtu akinilipua anajilipua kweli kweli maana huwezi jua kesho unaamkaje
Hii minofu hawapelekewi wanyonge?Engineer soma ,nimedhibiti mianya ya upotevu wa fedha za wanyongeView attachment 1077971
[emoji23][emoji23][emoji23] watoto wa KariakooWe mwachite anacheza watoto wa mjin
Kipanya ni hatari..
Tunaongeza magari ya kutembelea ya kijana wa mzeeHii minofu hawapelekewi wanyonge?
Tuwekee na kapicha mkuuKwa mfano utamzuia vipi mtoto wa mjini wakati we mshamba.. Umeona zile apartments za mzee baba zile za Chato utajua hela inapotelea wapi