Hii ndiyo timu ya Kuwakomboa Watanzania

Hii ndiyo timu ya Kuwakomboa Watanzania

Timu ya kitoto sana hii. Wengi ni watu wa kususasusa tu. Zitto Kabwe mimi namkubali, ni shujaa wa kweli si wa kubebwabebwa tu.
Zito anjua kujenga hoja lakini amejichanganya hapa kati, ila akijirekebisha wananchi watamwamini.
 
Hii timu ni nzuri ila bado haijakomaa inabidi tuwahakiki wafuatao ili kujua uthabiti wao kama vile Zitto Kabwe huyu dogo mimi sina imani naye sana maana ni kweli anahoja ila mara nyingine hisia zake binafsi zamzidi maslahi ya chama na taifa kiujumla nikiwa na maana anakuwa na ndoto nyingi kuzidi jinsi ya kuzitimiza sasa hapo ndo hatari inakuja.
Mtu mwingine ni Prof. Safari huyu namkubali ila sasa ni mchanga sana kwenye chama chetu kuweza kumpa madaraka. So tumlee kwanza kuona ukomavu wake kama mwanachadema then tumpe nafasi.
Hii timu sasa tuifanyie kazi ya kuitafutia manaibu wawili wawili kila mmoja hapo tutajiweka vizuri
 
Back
Top Bottom