Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Lugha ya picha
= Halafu
= Halafu
= Halafu
= tahadhari
Hoja yako ni kuwa watoto wanapenda kuangalia TBC hasa Ubongo Kids na watu wazima hupenda kuangalia ITV hasa Taarifa ya habari.
Hoja yako ni kuwa watoto wanapenda kuangalia TBC hasa Ubongo Kids na watu wazima hupenda kuangalia ITV hasa Taarifa ya habari.
Ni kwa sababu tbc wanasimamia maadili mema, hiyo tu ndiyo sababu.
Lakini wanatumia kodi za wananchiTbc ccm
Lugha ya picha
Kwako SUPER PREDATOR mwandishi wa hii tamthilia ya Nyumbu na Simba, ni mhusika yupi kati ya hao TBC na ITV amehegemea katika maisha halisi ya hao wanyama?
Mkuu wenye akili zao tumekuelewa hongera sanaTBC ya Leo ni ile inayoonyesha upendo na mambo mazuri tu. Kwa mfano kama wanaonyesha kipindi cha wanyama basi utaona nyumbu wanakula majani bila bughuza yoyote na pembeni utaona simba wamepumzika, na simba wengine wanawabeba watoto wao kwa upole kwenye midomo yao.
Harafu utasikia mtangazaji wa tbc anasema nyumbu ni wanyama wapole sana na wenye ushirikiano wa hali ya juu sana, hawagombani wala kufokeana. Baada ya hapo wanaamia kwa simba utasikia simba ni mnyama mpole sana na hasa kama ameshiba, tena huwabeba watoto wao kwa upole sana.
ITV ipo vile vile wao utaona nyumbu anavyohangaika kutafuta malisho na maji, nyumbu wanavyopigana, nyumbu wanavyokufa kwenye mazingira tofauti. Harafu utamuona simba anavyowinda, anavyokula, anavyoua simba watoto na wanavyouana wao kwa wao.
Harafu utamsikia mtangazaji anakwambia nyumbu hula kwa tahadhali sana kwa sababu anajua muda wowote atakamatwa na kuliwa na wanyama wanaokula nyama, utamsikia mtangazaji anakwambia simba anapowinda huwa hana huruma mpaka apate chakula chake na kushiba na wakati wa kula simba huwa hawana ushirikiano Mara nyingi utakuta wanagombana wakati wa kula.
Sasa kutokana na utangazaji wa aina hiyo watoto wengi wanapenda kuangalia TBC, na kutokana na utangazaji huo watu wazima wengi wanapenda kuangalia ITV hivi ni kwa nini?.
…ngoja nicopy hili bandiko, nikitoka kwenye miangaiko yangu ya kutafuta ugali(watz hatuli mikate) nikae chini nitafakari…lkn kwa ufupi tu ninaweza kuifananisha TBC na mamba amayetafuna windo lake huku machozi yakimbubujika, hapo ndio utajiuliza huyu mamba anakiurumia hicho kiumbe acho tafuna ama anafurahia utamu wa nyama?…
Hoja yako ni kuwa watoto wanapenda kuangalia TBC hasa Ubongo Kids na watu wazima hupenda kuangalia ITV hasa Taarifa ya habari.