Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,051
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kimaendeleo kwa speed ya 120 Km/h!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

What changes are we going to get from these senior citizen/pensioners?

Hayo ndiyo mabadiliko tunayoyataka?

Unreasonable haste is the direct road to error!

Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!

12109036_1511170319203725_7893429866689020787_n.jpg

c
 
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya km 120!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!

ha haha. Kijana wacha kiburi! Ingekuwa kama si wazee wewe ungelizaliwa? Hujui ya kwamba uzee ni busara?
 
Mbowe,Lisu,Nnyika,Mdee,Msigwa,Wenje,Kafulila,Ngurumo at al ndo viunganishi kufikia 120kmh
 
kwa hiyo hawa wote pamoja na pamabano yao yote lakini watalazimika luwa nyuma ya hao....kweli lowasa mabadiliko
 
Lowasa bana. Atasababisha mkapa ajinyee bureee
 
Mbowe,Lisu,Nnyika,Mdee,Msigwa,Wenje,Kafulila,Ngurumo at al ndo viunganishi kufikia 120kmh

Hebu ipange hiyo safu katika wizara 8 muhimu.
Kisha uniambie hiyo kasi ya kumzidi mlugo itatoka wali na kwa nani.
Muongeze na Lema na Sugu hapo juu.

Sumaye keshasema hakuna wanaojua utumishi wa umma huko.

Speed 120.
Utashangaa
 
Ccm ari tete.mna ari mbaya sana.kila jiwe mtagusa izi dakika.
 
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya km 120!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!

Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!

12109036_1511170319203725_7893429866689020787_n.jpg

c

Sitashangaa kusikia na wewe umehamia Ukawa.
 
Unamdanganya nani, wewe mpiga debe wa Mr Push-up????? Kibaki na wazee wenzake huko Kenya, walimwacha Moi na KANU yake, na kujiunga na upinzani, na matokeo ya spidi 120 yalionekana. Nenda Kenya hata leo ukaulize, watakwambia kazi za Kibaki aliyekuwa hataki maneno mengi, kama Lowassa. HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!! TUMEKWISHA KUAMUA, Rais wetu ni Lowassaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
ha haha. Kijana wacha kiburi! Ingekuwa kama si wazee wewe ungelizaliwa? Hujui ya kwamba uzee ni busara?
Hakuna niliposema kama siyo wazee nisingezaliwa!

Busara na speed ya Km 120 ni vitu viwili tofauti lakini pia unamaanisha, ujana ni speed, uzee ni busara kwa maana kuwa, huwezi kuwa ni vitu hivyo viwili kwa wakati mmoja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom