Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

Le Grand Alexei

Senior Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
116
Reaction score
83
1. Jaji Agustino Ramadhani - wasifu wake wa uadilifu na utumishi jeshini na serikalini ni hazina kubwa, pia sababu za kisiasa za kuwa mzanzibari na 'mkristo' ukizingatia wazanzibari hawajatoa Rais kwa mihula miwili sasa na hii ni 'zamu' ya wakristo {japokuwa haijaandikwa popote lakini ndiyo matarajio kwa kudumisha mshkamano}

2. Dk Bilal - ni makamu wa Rais hivyo itifaki itambeba

3. Dk Asha Migiro - atabebwa na wasifu na pia 'jinsia'. huyu ni msindikizaji wa kike ambaye anawashinda wasifu wanawake wenzake wote waliojitokeza. Balozi amina salum ali anapotezwa kwa nafasi na hao wazanzibari wenzake wawili hapo juu.

4. Pinda - ni waziri mkuu aliyeko madarakani na hivyo anabebwa na itifaki

5. Dk Kigwangalla - ni mgombea mwingine msindikizaji kijana atakayeingia kuwakilisha kundi la vijana. atateuliwa kwa kuwa ni msindikizaji anayeweza kukubali kirahisi kumsaidia jaji agostino ramadhani kuliko wengine wanaoweza kutitokeza kupambana.

hii list ndiyo itakuwa dawa ya kushughulika na lowasa, maana itatengenezwa sababu rahisi kuwa makada sita hawakutiii adhabu waliyopewa na hivyo wanazuiliwa kusonga mbele wote sita. ccm ikifanya hivi itakuwa imeondokana na makundi hasimu ya membe, sitta na lowasa maana wote watakuwa nje.
 
Kwenye katiba au kanuni ambazo si rasmi:

Jaji Ramadhani anakidhi vigezo viwili - Mkristo na Uzanzibar

Dk. Bilal ni Mzanzibar lakini si mkristo.

Pinda ni Mkisto lakini si Mzanzibar

Migiro ni mwanamke lakini si mkristo wala Mzanzibar

Kigwangalla ni kijana lakini si Mzanzibar wala mkristo

Kwa vigezo hivyo ni dhahiri Jaji Ramadhani ana nafasi kubwa zaidi lakini mawazo ya wapiga kura walioathirika na "ushawishi" wa mafisadi kazi itakuwa pevu.
 
Huu utabiri wa Sheikhe Yahaya, si ulishatolewa wiki moja iliyopita na wote tukakubaliana hizi ni pumba? Mbona unarudi nao tena?
 
Kwenye katiba au kanuni ambazo si rasmi:

Jaji Ramadhani anakidhi vigezo viwili - Mkristo na Uzanzibar

Dk. Bilal ni Mzanzibar lakini si mkristo.

Pinda ni Mkisto lakini si Mzanzibar

Migiro ni mwanamke lakini si mkristo wala Mzanzibar

Kigwangalla ni kijana lakini si Mzanzibar wala mkristo

Kwa vigezo hivyo ni dhahiri Jaji Ramadhani ana nafasi kubwa zaidi lakini mawazo ya wapiga kura walioathirika na "ushawishi" wa mafisadi kazi itakuwa pevu.
Issue kubwa siyo dini, anatoka wapi au kabila, issue ni anasifa za kuwatumikia Watanzania? Nadhani bado tunaamini CC itakuja na mtu bora zaidi ya hao.
 
Kwenye katiba au kanuni ambazo si rasmi
 
Kwa hao walio kwenye iyo list yako akipitishwa yeyote yule, UKAWA inapeta bila hata kufanya kampeni kwa nguvu sana.
Labda ile dhana yenu ya goli la mkono ndio ifanye kazi kiukweli.
 
"AGUSTINO RAMADHANI"mkrsto wa kuchonga!!!!
 
Kwenye katiba au kanuni ambazo si rasmi:

Jaji Ramadhani anakidhi vigezo viwili - Mkristo na Uzanzibar

Dk. Bilal ni Mzanzibar lakini si mkristo.

Pinda ni Mkisto lakini si Mzanzibar

Migiro ni mwanamke lakini si mkristo wala Mzanzibar

Kigwangalla ni kijana lakini si Mzanzibar wala mkristo

Kwa vigezo hivyo ni dhahiri Jaji Ramadhani ana nafasi kubwa zaidi lakini mawazo ya wapiga kura walioathirika na "ushawishi" wa mafisadi kazi itakuwa pevu.

Augusto Ramadhan,, Je amewahi kushika nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha CCM? Maana ccm itapitisha mtu anaejua chama hicho ili awe mwenyeketi wa chama na siyo kuwa rais pekee.
 
Rejea urais wa Mkapa. Alishika nafasi gani katika chama kabla ya kuwa Rais wa nchi?
 
Mtu awe Rais halafu akose sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chama? Kwani kuna nini cha ajabu kwenye Chama???
 
1. Jaji Agustino Ramadhani - wasifu wake wa uadilifu na utumishi jeshini na serikalini ni hazina kubwa, pia sababu za kisiasa za kuwa mzanzibari na 'mkristo' ukizingatia wazanzibari hawajatoa Rais kwa mihula miwili sasa na hii ni 'zamu' ya wakristo {japokuwa haijaandikwa popote lakini ndiyo matarajio kwa kudumisha mshkamano}

2. Dk Bilal - ni makamu wa Rais hivyo itifaki itambeba

3. Dk Asha Migiro - atabebwa na wasifu na pia 'jinsia'. huyu ni msindikizaji wa kike ambaye anawashinda wasifu wanawake wenzake wote waliojitokeza. Balozi amina salum ali anapotezwa kwa nafasi na hao wazanzibari wenzake wawili hapo juu.

4. Pinda - ni waziri mkuu aliyeko madarakani na hivyo anabebwa na itifaki

5. Dk Kigwangalla - ni mgombea mwingine msindikizaji kijana atakayeingia kuwakilisha kundi la vijana. atateuliwa kwa kuwa ni msindikizaji anayeweza kukubali kirahisi kumsaidia jaji agostino ramadhani kuliko wengine wanaoweza kutitokeza kupambana.

hii list ndiyo itakuwa dawa ya kushughulika na lowasa, maana itatengenezwa sababu rahisi kuwa makada sita hawakutiii adhabu waliyopewa na hivyo wanazuiliwa kusonga mbele wote sita. ccm ikifanya hivi itakuwa imeondokana na makundi hasimu ya membe, sitta na lowasa maana wote watakuwa nje.

we mtoto wewe... hawezi kuupoteza kirahisi ule utitiri wa wagombea wa ccm. sipati picha hatma ya edo. Membe. magufuli. mwakyembe. yani kirahisi rahisi tu ati unawaondoa. weee uwe na adabu wewe mtoto
 
Mtu awe Rais halafu akose sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chama? Kwani kuna nini cha ajabu kwenye Chama???

hapo sasa.... ila ccm huwa weu sometimes kwan wanaweza kuja na decision zao bogus kwan this time hali yao ni mbaya. Nawaona kama wanatapatapa jinsi ya kukiepuka iki kifo cha Oct 15.
wajue watanzania tumechoka na masiala masiala ya kutumia umaskini kwa makusudi hatuto waintertain tena
 
Back
Top Bottom