Io chopper ya TZ yaonekana light Sana..I'm sure mkuki wa wamasai unaweza iangushaTanzania special forces
Hii si ndo ile helicopter cockpit imedondoka!? Acha kufananisha helicopter mtumba na modern choppers!
Hyo ndege wavaa makombazi wanaiangusha kw sekunde tu...haiwezi hta jiteteaHufanywa wapi? Somalia?
Carbon fiber ni light material lakini ni strong sana.Io chopper ya TZ yaonekana light Sana..I'm sure mkuki wa wamasai unaweza iangusha
Juzijuzi the same scenario happened with the British airforce. Kubali mna chopa za kawaida!
Risasi haitambui carbon materialsCarbon fiber ni light material lakini ni strong sana.
Kazi gani hii sasa, at least wangeonesha paratroopers. Kazi kama hii Kenya yafanywa na polisi wa kawaida.
Tanzania special forces
Kenya police
Sijakwambia kama imetengezwa kwa carbon fiber, nimekupa mfano tu wa light material with strength.Risasi haitambui carbon materials
Wakiwa wamekaa wamechill lakini? Sasa kule Somali mlifanywa nn mkiwa mpo stand by to attack?Wa TZ wanapigwa kwa mapanga na rungu kule DRC