figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Sampuli ya Kanga na Vitenge ambavyo vimepitishwa kwa ajili ya Vazi la Taifa
Upuuzi tu huo...vazi la taifa ndiyo nini!!!
Hahaha ukipendaSijaelewa yaani tutakuwa tunavaa sare au?!?!?!
Ndio baba mama na watoto hii ndio TanzaniaHahaha ukipenda
Mkuu... Sasa ndo watuletee kanga..!??? Mtavaa khanga wenyewe..Yaelekea huelewi. Kwa kweli hatuwezi kuwa huru kama hatuna 'vyetu' ikiwemo utamaduni. Matatizo yote ya Afrika ni kwa sababu hatuna utamaduni (Cultural emancipation ingepelekea kwenye economic emancipation).
Angalia Burkina Faso wakati wa Sankara. aliweka mkakati wavae wanachotengeneza wenyewe na wale wanacholima wenyewe. Yule bwana angeishi mpaka leo, Burkina Faso ingekuwa nchi ya kwanza Afrika kuwa na uchumi huru.
Kama tukijitengenezea nguo zetu tukajivalisha wenyewe mitindo yetu....watu wangapi wangepata ajira? Tena hata wageni wangeanza kuiga na tukaanza ku- export. Wadhani mamilioni mangapi ya dola yanatumiwa na Baraza letu la Mawaziri pekee kwa kununua suti?
Mkuu... Sasa ndo watuletee kanga..!??? Mtavaa khanga wenyewe..
Anyway, my view is: Khanga ain't cultural enough to present us internationally...why don't those sick designers think of animal skins,magome or some crazy stuffs kama hizo that we Tanzanians have been wearing.. Khanga is not even unique, it's basically for people along the east African coast.. Not Tanzanians only. Vitenge are found and everywhere else.. Nigeria, Ghana, Kenya etc...Google ' Beyoncé wearing a Khanga'. Somethings are a result of ignorance (ooops, lack of awareness)!