Ukiwa kwenye chama hapo ni siasa kwa kwenda mbele.... Ukiwa mtumishi wa serikali hapo ni kazi tu... Sema manyumbu hayaelewi wala hayajui kutofautisha... Wanamchukia mtu hata pale anapotimiza wajibu wake.
Imeniboa Kweli, Samatta anapokelewa kitaifa lumumba by the late presedent?
yeuuuuuwi! the late "presedent" tunaye mmoja tu - babu yangu kipenzi Mwl. Nyerere!!Imeniboa Kweli, Samatta anapokelewa kitaifa lumumba by the late presedent?
Kimekuja na meli hiki! kila mtu na tafsiri yake! Acha kujifanya wajua sana.yeuuuuuwi! the late "presedent" tunaye mmoja tu - babu yangu kipenzi Mwl. Nyerere!!
Haiwezekani kitu chenye tafsiri moja kila mtu akawa na tafsiri yake kwa kisingizio cha ugeni. Kwa hiyo mzungu akisema "samata kapokelewa na marehemu rais tumuache tu" kwa sababu si lugha yake hivyo ana uhuru wa kutafsiri anavyotaka??? Ndo nishamrekebishia hivyo. Kuanzia sasa atajua the late ni marehemu. Wewe The late Kirchhoff endelea kujihami.Kimekuja na meli hiki! kila mtu na tafsiri yake! Acha kujifanya wajua sana.
"The Late" does not necessarily mean "the deceased". I am Still Kirchhoff, Kikwete is no longer a president, hence "the late president". kama mbele ya "the late" kuna jina basi ndo ingemaanisha "deceased". President ni cheo. we can say "The late Book" "The late statement" "The late Show" etcHaiwezekani kitu chenye tafsiri moja kila mtu akawa na tafsiri yake kwa kisingizio cha ugeni. Kwa hiyo mzungu akisema "samata kapokelewa na marehemu rais tumuache tu" kwa sababu si lugha yake hivyo ana uhuru wa kutafsiri anavyotaka??? Ndo nishamrekebishia hivyo. Kuanzia sasa atajua the late ni marehemu. Wewe The late Kirchhoff endelea kujihami.
The "late president" hapana Mkuu....The L
"The Late" does not necessarily mean "the deceased". I am Still Kirchhoff, Kikwete is no longer a president, hence "the late president". kama mbele ya "the late" kuna jina basi ndo ingemaanisha "deceased". President ni cheo. we can say "The late Book" "The late statement" "The late Show" etc
dadangu acha ubishi basi. we jadili kupokelewa sammata kama thread inavyotaka.
Sawa mkuu nilikuwa bado sijasoma modification yake hapaThe "late president" hapana Mkuu....
Ila The "former president" ndo imekaa poa... "The late" ikitumika kwa mtu basi uyo mtu atakua ni marehemu tayar!!!
kupokelewa kwa sammata nimeshajadili kwenye thread nyingine. Hapa ni mwendo wa mzee kifimbo cheza. Hiyo tuition yako hata sijaielewa. Hata kama muktadha "context" ina-dictate maana ya neno, kwa muktadha huu wa rais si late kabisaaaaaa..... si marehemu. Mbele ya late kuna jina, nalo ni president (noun mbele ya adjective). Na huyo president covertly ni kikwete. Unataka late hapa imaanishe nini kingine? rais aliyechelewa au? Rais aliyemaliza muda wake wa kutawala na hajafa huwezi kumuita "the late". Hata maana za late show na late statement zinaweza zisifanane. Tusiendelee kubishana kakaangu maana kweli mimi ni mbishi.The L
"The Late" does not necessarily mean "the deceased". I am Still Kirchhoff, Kikwete is no longer a president, hence "the late president". kama mbele ya "the late" kuna jina basi ndo ingemaanisha "deceased". President ni cheo. we can say "The late Book" "The late statement" "The late Show" etc
dadangu acha ubishi basi. we jadili kupokelewa sammata kama thread inavyotaka.
Kwa hiyo hujaona nilivyomjibu amanito au basi rejea tenakupokelewa kwa sammata nimeshajadili kwenye thread nyingine. Hapa ni mwendo wa mzee kifimbo cheza. Hiyo tuition yako hata sijaielewa. Hata kama muktadha "context" ina-dictate maana ya neno, kwa muktadha huu wa rais si late kabisaaaaaa..... si marehemu. Mbele ya late kuna jina, nalo ni president (noun mbele ya adjective). Na huyo president covertly ni kikwete. Unataka late hapa imaanishe nini kingine? rais aliyechelewa au? Rais aliyemaliza muda wake wa kutawala na hajafa huwezi kumuita "the late". Hata maana za late show na late statement zinaweza zisifanane. Tusiendelee kubishana kakaangu maana kweli mimi ni mbishi.