Tuwahi misa ya kwanza mama...Shost ana nyumba na ana wapangaji. Nyumba hii iko huku kwetu Kwamtogole. Katika wapangaji wake kuna vijana wanne kutoka mkoa flani ambao ni wapangaji wa chumba kimoja wapo mwaka wa 20 huu.
Aliyekuwa mpangaji wa kwanza aliondoka na kuwaachia wenzake nao waliondoka na wengine wanakuja. Huyu mpangaji wa kwanza anahakikisha uhusiano wa wapangaji wa chumba na mother house unakuwa smooth siku zote. Kama vijana wameshindwa kulipa kodi wanampa taarifa anawasaidia. Kwa wale vijana yeye ni God Father.
Kuna katiba ya kuishi kwenye chumba hiki.
1. Watu wasizidi wanne at a time.
2. Mpangaji hachagui kazi ya kufanya
3. Kila mtu ana wiki moja ya ku provide chakula kwa wenzake wote.
4. Wapangaji wote ni wa kutoka mkoa ule kuja kilutafuta maisha mjini.
5. Kodi huchangwa kutoka kwa wapangaji wote.
Kuna kitanda, jiko, vyombo vichache na masofa. Wanaoingia mjini huanzia kazi yeyote ile. Kwa wale wageni kila mtu anakuwa na sim card yake unauweka kwenye handset inapikuwa free mpaka utakapoweza kununua handset ya kwako.
Mungu akubariki mja wake!Amina mtumishi. Nitakuombea.
Amani iwe juu yako.Mungu akubariki mja wake!
Oooooh, nenda kasake noti, Solidarity foreverHubby umesahau mimi leo niko kibaruani
Najua, ndo maana nimekwambia tuwahi misa ya kwanza ukaambulie japo masomo na injili...Hubby umesahau mimi leo niko kibaruani
Ameni.Amani iwe juu yako.
Ahahhaahha haha ha. [emoji23][emoji23]Tuwahi misa ya kwanza mama...
Kibarua chake anatakiwa mapema kama skosei! Maana alivohamia kule na kutuacha hapa amekuwa anajihimu haswa.Najua, ndo maana nimekwambia tuwahi misa ya kwanza ukaambulie japo masomo na injili...
mtoto wa kishua sky unaonekana uswazi unapopajua ni kwa mtogole tu!...endelea kutusakama na kutubagaza,imetosha sasa tutamwambia rais wetu kitale alisemee hili imetosha sasa..Shost ana nyumba na ana wapangaji. Nyumba hii iko huku kwetu Kwamtogole. Katika wapangaji wake kuna vijana wanne kutoka mkoa flani ambao ni wapangaji wa chumba kimoja wapo mwaka wa 20 huu.
Aliyekuwa mpangaji wa kwanza aliondoka na kuwaachia wenzake nao waliondoka na wengine wanakuja. Huyu mpangaji wa kwanza anahakikisha uhusiano wa wapangaji wa chumba na mother house unakuwa smooth siku zote. Kama vijana wameshindwa kulipa kodi wanampa taarifa anawasaidia. Kwa wale vijana yeye ni God Father.
Kuna katiba ya kuishi kwenye chumba hiki.
1. Watu wasizidi wanne at a time.
2. Mpangaji hachagui kazi ya kufanya
3. Kila mtu ana wiki moja ya ku provide chakula kwa wenzake wote.
4. Wapangaji wote ni wa kutoka mkoa ule kuja kilutafuta maisha mjini.
5. Kodi huchangwa kutoka kwa wapangaji wote.
Kuna kitanda, jiko, vyombo vichache na masofa. Wanaoingia mjini huanzia kazi yeyote ile. Kwa wale wageni kila mtu anakuwa na sim card yake unauweka kwenye handset inapikuwa free mpaka utakapoweza kununua handset ya kwako.
Pole sana,hivi kumbe manesi hamna offHubby umesahau mimi leo niko kibaruani
Mambo ya kutajana vyeo tena.....!!Pole sana,hivi kumbe manesi hamna off