HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
... kwani kwa nchi kama Tanzania ambayo hivi sasa inavuma kwa ufisadi, vitendo vya kuvunja sheria na ukahaba ni vya kutarajiwa sana. Kwa nini tusitarajie vitendo vya aina hiyo wakati wananchi wamekata tamaa kutokana na ugumu wa maisha. Kuna baadhi ya watu wamejilimbikizia mali huku wengine wakishindia mlo mmoja kwa siku.Hivi sasa kuna wimbi kubwa la mabinti na vijana wa kiume ambao wamejikuta wakiingia katika vitendo vya uvunjaji wa sheria ikiwemo uvutaji wa bangi, matumizi ya madawa ya kulevya na uporaji wa kutumia silaha ...
Mtambuzi, nimeipenda sana hii paragraph, imeelezea mojawapo ya mizizi ya tatizo la ukahaba Tanzania. Kamati Like mkuu!
Angalizo: Siku nyingine unapoenda kuwahoji hao wadada unipitie na mzee mwenzio maana hao ving'asti wao ni hatari sana, wanaweza kufikiria unahitaji huduma ya bure na kisha kukudhuru, LOL!
Last edited by a moderator: