Hii ndiyo Katiba ACT, pakua na isome hapa.

(4) Pamoja na sababu nyingine kama zilivyoelezwa katika katiba hii na kanuni zitakazotungwa na Halmashauri Kuu, mwanachama yeyote ambaye atasaidia, kushawishi, kujiunga, kutoa tamko la kuunga mkono chama kingine au mgombea wakati Chama kimeweka mgombea kwenye uchaguzi wowote kwa mujibu wa Sheria ya Nchi atakuwa amepoteza uanachama wa ACT.
Huwa mnaipania sana CCM, tatizo lipo hapo tu!
Haya sasa Zitto Kabwe na Maalim Seif, hope kufikia sasa mmeshajua vyama vyenu vipya...
 
Back
Top Bottom