Hii ndiyo idadi kamili ya vichaa nchini

Hii ndiyo idadi kamili ya vichaa nchini

Wagonjwa wa kichaa nchini wameongezeka na kufika laki nne na elfu hamsini(450,000).

Hayo alieleza jana waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Seif Rashidi alipokuwa nanahutubia siku ya afya ya akili duniani, iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
450,000 sio IDADI KAMILI angesema IDADI YA MAKADIRIO. Sio rahisi kuhesabu ukapata 450,000 KAMILI!!
 
Wamejumlisha na wanachama wa ccm? hakunaga mwanachama wa ccm mwenye akili timamu,ccm huchaguliwa na vichaa.

hawa watu wanaoiwa CCM
 
Attachments

  • Sina hamu na ccm.jpg
    Sina hamu na ccm.jpg
    9 KB · Views: 198
vipi wale mazezeta wa BMK nao wamehesabiwa?
 
kuna mwengine jirani yangu hapa kaanza jana kuugua uchizi..:A S wink:
 
Wagonjwa wa kichaa nchini wameongezeka na kufika laki nne na elfu hamsini(450,000).

Hayo alieleza jana waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Seif Rashidi alipokuwa nanahutubia siku ya afya ya akili duniani, iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
Ukiambiwa ni mmoja wao wala usihamaki, maana watanzania wengi sasa wamechanganyikiwa!
 
Ni kweli tanzania ina vichaa wengi sana,ndege ya jeshi la nchi nyingine inaingia nchini wanaiba twiga na wanampandisha ndege hakuna hata mtu m1 wa airport aliyeona,idadi ya vichaa ni wengi sana,zimbabwe+pemba division 5 yani ni sheeedddaaaaahhhhhhh.
 
Kwa madudu yanayofanyika hapa nchinni na wananchi tunayanyamazia inawezekana WATANZANIA WOTE tumeshakuwa VICHAA....
 
Back
Top Bottom