Hii ndiyo Fursa utakayoingiza 50,000 kwa kila siku bila kutumia nguvu

Tatizo la Watanzania unaweza kugeuzwa marketing officer or manager ukiletewa wateja the second order zinapita juu Kwa juu.....

Hope wew hautakua mwenye Tamaa oda zipo nyingi sana by then niwewai fanya hii kitu mwanza tulipiga pesa sana....

Na nguruwe tulikuaga tunafuga wenyewe....

Nikupongeze Kwa kutushirikisha kwenye hio fursa...
Faida ninayo ipata inanitosha mkuu na vizur Tunapokea order kutoka kwako Karibu Mkuu tufanye kaz hakuna janja janja
 
Mkuu biashara haifanywi kwa kutaka faida kubwa haraka haraka. Wewe unaona 500 kwa kilo moja ni hela ndogo sana sio?
Shida ninayoiona hapo ni Moja
Mteja nitafute Mimi lakini nyama apeleke mwingine
Hivi unafikiri huyo mteja kesho atanitafuta Mimi au atanitafuta aliyempelekea?
Bora uniuzie nyama 7000 nipeleke mwenyewe kwa wateja wangu
Kutafuta mteja sio issue ndogo
 
Mkuu hatuna Tamaa hizo Faida tunayo pata inatosha kabisa Ondoa Shaka Sisi ni wafanya biashara Connection ni muhimu kwenye biashara zetu na watu wengi tuna fanya nao Kaz tu bila matatizo ukiwa na wasiwasi Sana Njoo Machinjioni chukua Nyama peleka ila sio kwa Bei hiyo 7000 ni 8000
 
Mkuu Sisi Tunapokea order kutoka kwako hatuitaji Mawasiliano ya mteja wako hatuna Tamaa hizo Faida tunayo pata inatosha kabisa Ondoa Shaka Sisi ni wafanya biashara Connection ni muhimu kwenye biashara zetu na watu wengi tuna fanya nao Kaz tu bila matatizo ukiwa na wasiwasi Sana Njoo Machinjioni chukua Nyama peleka ila sio kwa Bei hiyo 7000 ni 8000[
 
hakuna uhakika katika post yako,kuingiza pesa hiyo kwa siku, umezungumza kwa namna ya kudhaania so anything can happen
 
Duh! Biashara ni ngumu sana, fikiria Dodoma kuna mtaa unaitwa Michese unapata kitimoto iliyorostiwa kwa 9000 tu harafu niende kumshawishi mtu anunue kwa 8500 ikiwa mbichi
 
hakuna uhakika katika post yako,kuingiza pesa hiyo kwa siku, umezungumza kwa namna ya kudhaania so anything can happen
Mkuu uhakika mbona upo mm nasambaza Order 180 KG kwa siku kwa wateja tofautofauti Kitimoto inaliwa Sana hapa mjini ni wachache wanao weza kumaliza kilo ya Nyama Ng'ombe kwa mlo mmoja ila Kitimoto asilimia 80 Wana Uwezo wa kula 1KG kwa mlo mmoja soko lipo Kwa Dar pekee Zaidi ya KG 1000 Zinauzwa kila Siku
 
Tatizo la Watanzania unaweza kugeuzwa marketing officer or manager ukiletewa wateja the second order zinapita juu Kwa juu.....

Hope wew hautakua mwenye Tamaa oda zipo nyingi sana by then niwewai fanya hii kitu mwanza tulipiga pesa sana....

Na nguruwe tulikuaga tunafuga wenyewe....

Nikupongeze Kwa kutushirikisha kwenye hio fursa...🤓🤓😊😊
Ukiona fursa na ukihitaji kuilinda alafu wewe n middle man hakikisha unaaminika kwa mwenye Mali alafu kuwa na kianzio walau itakusaidia mfano unaoda ya 20kg kwa watu tofauti na cash unayo ya 8kg nenda kwa muuzaji nunua hyo 8kgX8,000= 64,000 nenda kasupply Rudi chukua hzo 12kg nenda kusupply hii itakuoa hata Uhuru wa kupanga Bei kulingana na mtaji wako.
 
Duh! Biashara ni ngumu sana, fikiria Dodoma kuna mtaa unaitwa Michese unapata kitimoto iliyorostiwa kwa 9000 tu harafu niende kumshawishi mtu anunue kwa 8500 ikiwa mbichi
Mm Nazungumzia kwa Mazingira ya Dar pekee hata mbeya rost inauzwa 7000 Dar rost inauzwa 13k _ 25k Inatokana na Mazingira mkuu
 
Ukiona fursa na ukihitaji kuilinda alafu wewe n middle man hakikisha unaaminika kwa mwenye Mali alafu kuwa na kianzio walau itakusaidia mfano unaoda ya 20kg kwa watu tofauti na cash unayo ya 8kg nenda kwa muuzaji nunua hyo 8kgX8,000= 64,000 nenda kasupply Rudi chukua hzo 12kg nenda kusupply hii itakuoa hata Uhuru wa kupanga Bei kulingana na mtaji wako.
Asante Sana mkuu Kwa Msaada
 
Back
Top Bottom