Unauwaje wenzio na wamechanjwa???
bernard10, naomba nikusaidie kidogo...
Kwanza, hakuna chanjo yoyote ambayo iko proven kwa asilimia 100% kuzuia maambukizi ya ugonjwa wowote ule...hiyo ni myth.
Pili, kukutwa na virusi vya Covid-19 (to test positive) haina maana kwamba tayari unaumwa kiasi cha kulazwa, ni kwamba umekutwa na dalili ya kuumwa na unachotakiwa kufanya ni kuji-isolate ili uzidi kuwa salama na usiweze kuwaambukiza wengine. Asilimia kubwa ya watu wengi wanapata nafuu baada ya muda na kurejea kwenye shughuli zao bila matibabu yoyote.
Tatu, ukishakutwa na dalili ya covid-19 hutakiwi kupewa chanjo mpaka dalili hizo ama ziondoke na umepona.
Nne, kama dalili hizo zikiongezeka na hali yako kuwa mbaya, itabidi ulazwe hospitalini na kupewa huduma ya matibabu.
Hebu tuchukue mfano wa Marekani...
Kwanza, hadi kufikia katikati ya mwezi wa saba, watu karibia
160,000,000 walikuwa wameshapata chanjo yote. Idadi hii ni karibu mara tatu ya Watanzania wote lakini kidogo ni chini ya asilimia
50% ya Wamarekani wote. Tunaweza kusema idadi ya waliochanja na ambao bado ni kama karibu sawasawa.
Pili, waliokuwa wanapatika na virusi vya covid-19 na kulazwa, idadi yao ilipungua sana kulingana na idadi za awali kabla ya chanjo na asilimia
97% ya waliokuwa wakilazwa kwa matibabu ni wale ambao walikataa chanjo.
Tatu, wanaokufa kwa covid-19 asilimia
99.5% hawakuchanjwa. Hii ni sawa na kusemakatika vifo
200 kwa covid-19 , vifo
199 ni vya wale waliokataa chanjo awali na ni kifo kimoja tu kinaweza kumpata aliyechanjwa tayari.
bernard10, hebu soma hii ripoti...
‘Two Americas’ of vaccination
As of mid-July 2021, the U.S. has fully vaccinated more than 160 million people – just under 50% of the population – against COVID-19. Despite a surplus of available vaccines, in recent weeks the rate of vaccination has slowed substantially. In early April, health workers administered roughly 4 million new vaccines daily. Today, that number is about 450,000 doses a day.
As people sought vaccines over the past few months, the U.S. has split into what
Dr. Anthony Fauci, director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, is calling “two Americas” – one of the vaccinated population and one of the unvaccinated population. These two Americas are divided geographically and in most cases along political lines.
Vaccination rates will continue to rise, albeit slowly, as rural areas get better access to vaccines and messaging persuades some vaccine-hesitant people to get the shot. But according to survey data from late June and early July, more than 10% of adults 18 or older say they are probably not or definitely not going to get a coronavirus vaccine, with another 5% saying they are unsure. It seems likely there will be a large unvaccinated population for the time being.
Which America is safer?
The vaccines themselves are nothing short of remarkable in their effectiveness at protecting against COVID-19.
Unvaccinated people, by comparison, are extremely susceptible to the coronavirus, particularly to the delta variant and the data on deaths and hospitalizations show this discrepancy clearly.
On July 16, 2021, Centers for Disease Control and Prevention Director Dr. Rochelle Walensky revealed that
99.5% of recent U.S. deaths from COVID-19 were of unvaccinated people. “Those deaths were preventable with a simple, safe shot,” she said. In Early July, Fauci said that
99.2% of people who died recently were unvaccinated. In the state of Maryland, every patient who died from COVID-19 in June was unvaccinated.
In her July 16 statement, Walensky also said that
97% of current COVID-19 hospitalizations are of unvaccinated people. An earlier analysis done by The Associated Press found that
98.9% of all hospitalized COVID-19 patients in May were unvaccinated. The director of the Los Angeles County Department of Health Services recently stated that
all new hospitalized COVID-19 patients in Los Angeles were unvaccinated.