akatanyukuile
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 314
- 308
Habari wana jamvi bila shaka mda huu walio wengi mumechili na wake zenu au wame zenu, na watoto. Hatuna budi kumushukuru aliye juu.
Bila kupoteza mda kunajambo nimekutana nalo limeniacha mdomo wazi. Kuna rafiki yangu mmoja ambaye ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM. Katika fani ya kemia. Yaani ni mkemia. Sasa ikatokea nafasi za ajira za walimu zilizotolewa kwa kwa mara ya mwisho. Jamaa kwavile alikua mtaan na hana kazi kashachoka ikabidi ajaribu bahati yake kuomba kazi ili akafundishe chemistry. Mungu si asumani akapita na kupata ajira. Alifrai sana kwani ilikua ni kama zar kwake
Aliweza kufanya taratibu zote kama inavotakikana na kuanza kazi rasimi baadae mshahara ukaanza kuingia. Lakushangaza baada ya miezi mitatu ambapo ilikua ni mwezi wa tisa akalimwa barua na mkurugenzi wa manispaa husika yakua ajira yake imesitishwa et si mwalimu kitaaruma. Dah jamaa kataka kuchanganyikiwa akaenda tena kwa katibu ila naye akashikwa kigugumizi. Baadae akawashindikiza wamuandikie barua mkurugezi akaandika nyingine ikisema amesitishiwa kaz na yakua wao hawahusiki na hilo na yakua mchakato ulifanyika wizarani hivo kama ataona huruma apangiwe kaz nyingine. Mpaka ninaandika hapa bado hakieleweki alikua anasema arud tamisemi ila bado ni mawazo tu. Tafadhal ushauli wenu wadau
Kama kuna mwenye uelewa na hili tupe msaada kwani rafiki yangu huyu ameniumiza pakubwa.
Ninaomba kuwasilisha.