Hii ndio yenyewe; Urafi,uchumba,ndoa,talaka za mwendo kasi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,217
Hii imekaa njema sana....

Urafiki wa mwendo kasi
Uchumba wa mwendo kasi
Ndoa ya mwendo kasi
Talaka ya mwendo kasi

................

Mtaaani kimwendo kasi na vibegi vya mwendo kasi.


Ongeza yako hapaa....
Elimu ya mwendo kasi
Cheti cha mwendo kasi
Ajira za mwendo kasi
Mshahara wa mwendo kasi
Umasikini wa mwendo kasi.............................
 
Back
Top Bottom